IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

Au tuseme you are not a photogenic, sababu mimi nilishakuwa na tecno spark 3 kuna kapicha nilikpatia angle aisee kalikuwa bomba utasema sio tecno.
Acha manena dada do the needful
 
Nakuagiza acha ukaidi
Samahani mkuu neno lako ni AMRI KWANGU nafungua sasa hivi.

This one is for you
JPEG_20220210_115614_8278455548722416687.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom