IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

Uzuri hiyo note 8 nimetumia na android nyingi nyingi zikiwemo hizo Samsungu Note series

Sijatumia Google pixel ndo naskia stori ina Camera kali

Turudi kwa Iphone hii ni habari nyingine pamoja na kuwa na upekee unafanya watu waone kama gereza ila huwez kulinganisha note 8 na Iphone 13 hata kwa iphone Xr tu hiyo note 8 haifui dafu
Njoo mapicha achamanone
 
Ndo ujue hutakiwi kulinganisha Iphone 13 na samsung note 8

Alaf iphone 13 sio macho matatu, iphone 13 ni two camera ziko diagonal

Whatever the case is, note 8 ni utopolo amini usiamini
Mkuu unayo hapo?🥱🥱
 
Umewahi kutumia iphone lakini?

Isijekuwa umetoka kwenye tecno umeingia kwenye note 8 kwahiyo unaamini hakuna camera kali kuliko note 8 yako


Ujue mtoto aliyezaliwa akaishia kuona mbuzi ukimwambia kuna mnyama mkubwa kuliko mbuzi mnaweza kubishana sana
Mkuu unayo hapo tuoneshe🥱🥱
 
Weekend iliyopita nilisafiri kwenda Bagamoyo tulikuwa na event ya kikazi kule.

Basi wakati michezo beach dada mmoja wakishua akaniachia simu yake nimshikie akaogelee ilikuwa ni iPhone 13 maarufu kama macho matatu.

Haikuwa na password so nikaenda kwenye camera nikiwa nimeshika simu mbili kwa pamoja yaani kulia macho3 kushoto macho2 ya Samsung Note8 nikawa napoint kwenye object 1, aisee Samsung note8 kampiga gepu mbaaali sana huyu iPhone 13.

Najua mtakuja kujitetea ila ukweli ndio huo. Huyu sister ni wakishua hasaa so msije na lame excuses kwamba ni copy maana licha ya kwamba ni wakishua kwao ila hata yeye na mumewe wako vema sana.

Anayebisha siku ajaribu kulinganisha halafu aje na mrejesho.

Majaribio yalifanyika mchana na jua linawaka.
Kwanza hakuna Iphone 13 ya macho matatu, Mpaka hapo wewe tunakuondoa kwenye list ya wanaozijua simu.

Huu uzi Void mods muufunge tu.
 
Hapo tu kwenye kuvua kava na kujua ni iPhone 13…Tayari inaonesha hilo ni famba…..ungetuambia uliingia (settings>general >about) kidogo tungekuelewa kuwa hio ni iPhone 13 na hakuna 13 ambayo ni macho matatu macho matatu ni 13pro na 13pro max….huyo kapigwa hakuna iphone 13 hapo huwezi sema eti nilivua kava since iphone haiandikwi nyuma kua ni iphone ngapii
Anazingua huyo ng'ombe
 
Oooh urudi lini kutoka Mirembe?
Hujui simu mzeeee.....

Kama unahisi simu yako inapiga picha piga picha towards jua kama hivi....

Picha ioneshe clear details za vitu vingine pia kama hivi....

PXL_20220210_121756850.NIGHT.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom