IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

Hapo tu kwenye kuvua kava na kujua ni iPhone 13…Tayari inaonesha hilo ni famba…..ungetuambia uliingia (settings>general >about) kidogo tungekuelewa kuwa hio ni iPhone 13 na hakuna 13 ambayo ni macho matatu macho matatu ni 13pro na 13pro max….huyo kapigwa hakuna iphone 13 hapo huwezi sema eti nilivua kava since iphone haiandikwi nyuma kua ni iphone ngapii
Umemkalisha vizuri sana.
 
Unyama huo wa gcam.
00000IMG_00000_BURST20220213163243439_COVER.jpg
 
Note 8 na iphone macho matatu ni simu kutoka era tofauti kidogo
Kwa nmna yoyote ile haiwezekani Note 8 ikawa na kamera bora kuliko iphone 13 pro

Umeniacha hoi hapo ulipo sema eti ulijua ni iohone 13 kwa kuvua cover.... HOW?

Na unajua iphone macho matatu inaitwaje mkuu?

Jitathmini labda macho yako yameanza kufeli
 
Wee jamaa kumbe mshamba sana...Iphone haikaguliwi kwa kuvua cava wewe!
Baada ya kuvua cava uliona inachapa kwamba ni iphone 13?
Halafu kutumia kigezo kwamba huyo yuko vizuri kiuchumi hakuwezi kuprove kwamba atanunua kitu genuine, ishu ana ujuzi wa kutambua kwamba kitu flani ni Og ama la!
Yupo dada mmoja alikuw anahitaji kununua sumsung S9 wakati zinatoka, so kwa sababu hakuwa anazijua kiundani akaingia dukani wakamshikisha famba bila kujua kwa kulipia bei sawa na Og, tukafuatilia aliyemshikisha akarudisha mpunga!
Sasa kwa hizo Iphone 13 wapo wadada humu mtaani wanazo na wanajiweza kiuchumi ila walishikishwa mafamba na wajanja kwa kuwa wengi hawajui kukakugua specifications kama ulivyo wewe ambaye unatoa cava.
Mkuu umeweka gazeti picha ipo wapi ya hio Iphone 13?
 
Mkuu kwani tumekuja kupima iPhone yangu na simu yako!? Unadai iPhone 13 na note 8 yako ndo kipimo ulichotumia weka picha za hizo simu zote watu waamue, isitoshe mi iPhone yangu ni 7 na ni old fashioned kwenye suala la camera siwezi hata kuja hapa nikasema nina simu yenye camera kali
Simu ilikua ni ya watu..tena mke wa mtu ataipataje picha sasa..? Soma vizuri..kwaio unatumia iphone 7 🤣🤣🤣🤣
 
Sio kweli.
Bionic processor iliyo kwenye iphone 13 ndo the best processor according to majority benchmarks.
Designed by apple manufactured by tsmc.
Huyu tsmc ana technology ya kuunda processor kiasi kwamba intel anahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom