IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

Kumpambanisha iphone 13 na samsung Note 8 ni katika kuikosea sana iphone, Macho matatu inaanzia kwenye iphone 11 pro max, we ulijuaje kama hiyo ni 13 pro? Iphone 13 pro anapambanishwa na hili toleo jipya la samsung S22 ultra ambapo kiaina flan kwenye camera samsung S22 kamfunika tunda. Hiyo note 8 haitoboi hata kwa iphone 8+.View attachment 2120873
Huyo ni Mbwa au sanamu? maana anapigwa picha mbili bila hata kutikisika???😀😀😀😀😀

Acha uhuni kijana piga picha halisi sio unatuokotea mitandaoni
 
Huyo ni Mbwa au sanamu? maana anapigwa picha mbili bila hata kutikisika???😀😀😀😀😀

Acha uhuni kijana piga picha halisi sio unatuokotea mitandaoni
Sikatai hiyo ni picha ya mtandaoni ila Zinawekwa simu zote mbili kwa pamoja na kupiga target kwa wakat mmoja. Ila hazijachezewa. Ila mtu mwenye akili timamu hawez fananisha tuna 13 na note 8, hapo unaonesha dalili zote za USHAMBA. Note 8 apambanishwe na iphone 7+ au 8+ ambapo nina uhakika Note 8 atapigwa za uso.
 
Mkuu wewe ndio umetuma picha za wale mbwa??🙂🙂🙂🙂 aisee ule niukanjanja wa hali ya juu kuchukua picha moja na kuiandika maneno ya camera mbili. tuwekee picha halisiikiwezekana ya leo
 
Mzee utakua hujui setting za iphone pole sana, iphone kama huwezi itumia itakutesa tuachie watabe
@Champagnee, haya tuambie ISO, Aperture na Shutter Speed tunazipatia wapi katika iPhone camera? Adjustables ni AF lock & AE compensation pekee. Kamera za iPhones sio manual, usituingize chaka.

By the way, iPhone ina kamera bora zaidi ya Samsung kwa vipengele vingi (sio vyote). Kuna baadhi ya points, kama optical zoom, Samsung ni better kuliko iPhone.

Generally, iPhones are the best phones in camera. Binafsi nazikubali sana.

NB: Unapofananisha brands efficiency, zingatia models zinazoendana au kukaribiana kiuwezo, hiyo ndio fair comparison.
 
Mkuu wewe ndio umetuma picha za wale mbwa??🙂🙂🙂🙂 aisee ule niukanjanja wa hali ya juu kuchukua picha moja na kuiandika maneno ya camera mbili. tuwekee picha halisiikiwezekana ya leo
Mimi sio mtumiaji wa iphone kwa sasa, unashindwa kuelewa lengo la kukutumia ile picha, pale nimekuonesha tu iphone 13 anapambana na simu model ipi kwa samsung, kwa sasa nina google pixel ambapo ukisema tupambanishe na note 8 nitakubonda ipasavyo, pia nnazo picha nilizopiga kwa 12 pro max ambapo ukisema uzipambanishe na note 8 utaachwa pia, huwezi kufananisha simu yako mid range ya 2017 na flagship ya 2021
 
Kwaio wale mbwa kwa uelewa wako wamepigwa na simu mbili tofauti?? angalia position na pozi la mbwa, ukitumia ubongo hata kidooogo utagundua wamepingwa na manera moja, mmoja mafanyiwa editingi kidoogo kuonesha tofauti ndogo ya uangavu
 
Sio kwa dharau, ila ndugu yangu kwenye teknolojia upo nyuma sana, hata hujui kama kuna camera gimbal? Kuna ya simu pia Ambayo inashika simu moja, mbili ama hata 3 kwa pamoja. Ukiangalia hizo picha za mbwa hauoni kama zinatofautiana, kuna moja ina muonesha mbwa mwili full na nyengne inamuonesha mwisho mgongoni, pia hauoni background pale nyuma zipo tofauti, moja inaonesha gorofa kiurwfu zaid nyengne inaonesha nusu. Uko na ushamba flan hivi
 
Huyo ni Mbwa au sanamu? maana anapigwa picha mbili bila hata kutikisika???😀😀😀😀😀

Acha uhuni kijana piga picha halisi sio unatuokotea mitandaoni
Hizo picha wanapiga kwa kutumia Stand.

Zinapigwa muda mmoja ila slightly kunakuwa na shift ya angle.

Kama umeshaangalia Camera comparison za simu Youtube hiki unachocomplain hapa siyo kigeni.
 
Redmi 9A tu!
IMG_20220211_193319.jpg
 
Ko professionals duniani wamekaa wamezitest na kuona iphone 13, pixel 6 pro ndo zenye system nzuri ya camera duniani wewe kutoka uko kajampa nani unasema itel ndo bora
Aya bna
Iphone ni the best for video recording.

Ila when it comes to pictures anagaragazwa na simu nyingi sana.

Pia before iphone 12, Iphone ilikuwa simu ya hovyo sana kwenye low light images.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom