IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

Pixel 6 kwa normal picha ni superior kulko iphone, ila kwa portrait iphone 13 pro ni zaid ya pixel, thats the fact
Pixel kwa portrait ndo ana balaa, mfano wewe chukua hiyo pixel 3 yako kalinganishe na tunda xr kisha angalia ipi bora
 
Picha yenye high contrast inawezaje kuwa picha nzuri?

Hapa ndio mimi natofautiana na iSheeps wengi.

Yaani uache vigezo vya picha nzuri kama Good dynamic range, good white balance, object isolation kwa potrait, minimal or no noise.n.k. uje useme picha yenye high contrast inakuwa nzuri?

Ndo maana huwa nasisitiza hata hiyo latest iphone haiwezi fikia simu hizi kwenye category ya picha

Pixel 6

Realme 60 pro plus

Samsung s21 ultra

Xiaomi mi 11 ultra n.k.

Iphone atashinda tu kwenye video ila siyo kwenye picha kwa hiyo simu.
rudia kusoma nilichoandika kwanza alafu ndo uje ukoment upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanao diss iphone... wanakua hawajawahi kuzitumia... sijui makasiriko wanatoa wapi
 
Kwa sasa hivi samsung note 8 labda inaweza kuwa sawa na iphone 6s ama bado ikaachwa
Hyo 13 labda copy za laki 3
 
iphone upande wa picha nawakubali sana camera zao yani point and shoot yani humiss kitu hicho ndio kimewaahinda samsung samsung inahitaj utulize mkono hata baada ya kupiga , kwa moving object iphon wamewaacha andeoid mbal na uzoef na hiz sim kwa sasa namilik hiz iphone 11 na note 9 naona tofaut kubwa, ukitaka ifaid sim kwa mazingira yetu better samsung ila anzia s10 + kwenda juu, ifon kama huna mambo meng itakufaa maana ina limit kibao mf kuweka tu ringtone au kudowwnload video process ndef
 
Weka picha
 
Simu ya milioni 4 na ushee!!

Wengi humu watumishi wa serikali wana tecno na infinix

Wengine wanapiga deiwaka kitaa.

Wenyewe 13 ni walio mamtoni na wadangaji waliotoa jicho moja na kupewa matatu.
Umesahau wanao uza viwanja😁 na wa mirathi
 
Weka picha
19C0E8FF-C5EC-47A2-B367-942A6E44E2F7.jpeg

Ngoja niwafufulie uzi na hii aitel
 
Hata kama sikuwepo wakati unapiga picha ila mimi nitabisha hadi karne ijayo, yaani nimeona iPhone 12 plain ya rafiki yangu mmoja hivi inatoa picha kali balaa, ukipiga picha bustani inavyotokea utasema ni Eden.
Inabidi tu ukubali hiyo iPhone ilikuwa ni fake. Huyo demu kuwa mshua haimaanishi kuwa hawezi kupigwa na kitu kizito.... OVER!
 
Kuna watu wanajua kulalamika kuwa simu fulani hakuna kamera ila kiuhalisia kumbe hawajui kupiga picha au hawawezi kutumia features zote za camera ya hiyo simu😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom