42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
Iphone ni the best kwenye Camera upande wa video.@Champagnee, haya tuambie ISO, Aperture na Shutter Speed tunazipatia wapi katika iPhone camera? Adjustables ni AF lock & AE compensation pekee. Kamera za iPhones sio manual, usituingize chaka.
By the way, iPhone ina kamera bora zaidi ya Samsung kwa vipengele vingi (sio vyote). Kuna baadhi ya points, kama optical zoom, Samsung ni better kuliko iPhone.
Generally, iPhones are the best phones in camera. Binafsi nazikubali sana.
NB: Unapofananisha brands efficiency, zingatia models zinazoendana au kukaribiana kiuwezo, hiyo ndio fair comparison.
Video zake zipo clear zana hakuna android anasogea.
Ila tukija kwenye picha kuna simu nyingi sana naweza kukutajia ambazo zinaweza kumgaragaza.



. Note 8 apambanishwe na iphone 7+ au 8+ ambapo nina uhakika Note 8 atapigwa za uso.