Invitation to all JF members: Debate!

Mkuu wanaume hawasifiwi kwa sura nzuri wanaume wanasifiwa kuingia benki na kutoa pesa.

japo huwa hauna point kabisa,lakini inshallah natumaini Mshereeshaji wetu hapa JF utakuwepo pia kushelehesha,cz ndio unachoweza.
 

hiyo EAT ni East Africa Television au ni East Africa Time? Inachanganya maana kuna hii tv station inayotumia acronimy za EAT.
 
Zomba ataanza kukusanya madesa kwa Nape kuanzia leo!

Sio kwa nape bali kwa mpenda ndizi na Magufuri. Ushauri wangu ni kwamba afute mpango wa kutumia takwimu za kilometer na viwango vya rami za magufuri sababu nina ushahidi wa kutosha kwamba, kwa kuanzia tu records zote alizozitoa pale Jangwani siku wanafanya mazoezi ya kuhutubia wakiwa kama wapinzani kuanzia 2015 zilikuwa na mapungufu makubwa sana kama sio uongo kabisa kuanzia kwenye kilometers, contractors, gharama, na financer.

Kilometer nyingi alizioverstate chache sana aliunderstate na hakuna aliyotoa takwimu sahihi
Baadhi ya barabara hakuna contractor alikuwa field sababu ya ukosefu wa fedha
Baadhi ya barabara ujenzi ulikuwa umesimama sababu ya ukosefu wa fedha
Barabara nyingi zikofinanced na nchi na mashirika wahisani wakati alisema zinagharamiwa na serikali ya ccm
gharama zote alizotaja zilikuwa za uongo.

Akisubutu tu kutumia takwimu hizi namlipua.

Pia ajiandae kujibu swali langu moja tu. Serikali imesitisha ujenzi wa shule za kata na imekili kwamba ni BOMU, Je serikali ya CCM inafanya maandalizi gani kuwalipa fidia wanafunzi wote waliopitia katika shule hizo na kuwapotezea muda?
 
mod hapo mnamtwisha mzigo mkubwa mno zomba matola ni moja ya vichwa muhimu na adimu sana humu jf si saizi ya zomba namuonea huruma sana huyu zomba namuomba mungu niwepo siku hiyo
 
kaka matola mtabata mwenzangu kaa pale sanene au nderingo na mvinyo mwanana andaa makombola kusambalatisha kilaza zomba mimi nakueshimu na kukuamini sana
 
Ingekuwa vyema kama nakala hiyo angepewa baada ya maoni kuchambuliwa na kuandaliwa kwa ufasaha...Lakini swali linakuja, ni nani amabaye atapeleka nakala ya hii debate kwa mheshimiwa presda?

Labda mtu aende akamsomee pale pale Ikulu lakini kusema mmpe makaratasi, hayasomi ng'o!!!
 
Mungi,

Naona umerukia kujibu post yangu mie nakujibu hivi... Debate inahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012...

Kwa hiyo siasa haipo hapa?
sasa CHADEMA inaingiaje kwenye ufanisi wa serikali ya Jakaya.
 


Itakuwa vyema ukutupatia na code of conduct as well specific kwa thread hii.........vinginevyo patakuwa pachungu humu......nashauri members
watukutu wapewe debarrment ya thread hii(sio absolute ban) ili tuende vizuri.....many thanks for the good idea!
 

Asante kwa wazo lako, ila 2 out of wahusika 3 waliomba iwe siku hiyo. Kwa vile debate itakua ndefu kidogo na itakua na breaks kuwaruhusu waende kusali/kufturu/kulala nadhani inaweza kuendelea on the 25th as well. Sisi ambao hatuto participate tunaweza kuja kuisoma baadae, kama during the weekend, na kuchangia.
 
hiyo EAT ni East Africa Television au ni East Africa Time? Inachanganya maana kuna hii tv station inayotumia acronimy za EAT.

East African Time. Nilidhani it was explicit since imefatana na time. Asante kwa ku-point out.
 
Asante kwa wazo lako. Nadhani itakua vigumu kuwajua members watukutu. criterion zinaweza kua zipi mfano? tunaamini kila active member ana uhuru wa kupost. ikiwa ataende kinyume na masharti ya JF Moderators will simply apply the rules. Let's hope that we'll all behave like the great thikers we claim to be.
 

Roulette,

..nadhani wale members wenye tabia za udini-udini wazuiliwe ktk thread hii.
 
haya ndio mazingaombwe ya jf, mtu alishapigwa ban ya maisha kwa string of utumbo threads+ posts leo anarejeshwa kutangazwa kufanya debate JF..yangu macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…