Most introverts knows how to express themselves by writing instead of talking ... introverts find it super uncomfortable to express themselves kwa watu wengine face to faceso, you're literally using a social network to explain your anti-social behaviour? You sound funny!
Mimi ni introvert ila ukinizingua nageuka kuwa enxtrovert
wewe ndo huwajui introverts sasa!Introverts wa JF mnachekesha sana. Wengi wenu hamjui hata maana ya introverts. In short, introverts find it hard to socialize. Sasa unakuta mtu yuko humu JF as an active member anaeanzisha threads na kuchangia kwenye mijadala mbali mbali alafu bado anajiita introvert. Mnachekesha!
wewe ndo huwajui introverts sasa!
introverts wanaongea sana via words, introverts wapo social sana kwenye hii mitandao na wana uwezo mzur wakuji defend au kupresent mada kwa maandishi...
wanashindwa kusocilize ukikutana nao in person, lakin kama hiv jf unaona maandishi tu alafu na fake id apa ndo sehemu za introverts kujiachia akijua akuna anaemjua na akuna anaemuona
kitu sio kibaya....Ukijibadilisha unakuwa outgoing introvert.
God save us
unapaswa kujitahidi, mimi nimetoka kujichanganya hadi sasa niko mwenyewe tu, najichanganya nikitaka tu....Aisee
Mimi kunipeleka nijichanganye na watu Ni kama kunionea tu
Yaani Ni ngumu Sana,unakuta mtu anapiga simu yaani sio kwamba sipendi kupokea,Basi tu siwi comfortable kuongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa najichanganya inaponibidi lakini huwa siwi comfortable Kama ninavyokuwa nikiwa pekeyangu.unapaswa kujitahidi, mimi nimetoka kujichanganya hadi sasa niko mwenyewe tu, najichanganya nikitaka tu....
Zipo thread mbili za introvert humu zilitembea sana mmoja unaitwa"watu wakimya/wapole changamoto zipi zimewahi tukuta", mwingine unaitwa wale introvert/shyness...."hapo mbele sikumbuki vizuri uliandikwajeAisee nahitaji kusoma huo uzi... Kwa hisani yako mkuu kama una link
Aisee sijaona mtu mbishi kama wewe ahahahahbahati mbaya sikuona hii quote mapema. Nadhani wengi humu wanachanganya shyness au lack of confidence na kua introvert. Ninavyofahamu mimi introverts hawapendi kusocialize iwe kwa maneno au kwa maandishi. Kama huwezi kuongea mbele ya watu ila unapenda kuchat, wewe sio introvert bali ni mtu mwenye aibu!
Havihusiana na hakuna anayeogopa ila tu hatutaki maana hiyo ni tabia ya asili,nikitaka mahusiano natongoza kama kawaidaHabari zenu wadau? Poleni na mihangaiko na vita vya Corona.
Ninakuja mbele zenu kuomba kujua kuna changamoto gani ambazo watu wa ndani ( introverts) wanazipata wakitaka kuanza mahusiano na jinsi gani wanaweza kuzishinda ukizingatia personality yao inawafanye wawe waoga kiunteract na watu wengine.
Nawasilisha !
Sent using Samsung Galaxy A7 (2018)
Kuwa intro haina maana unakuwa domo zege ,lakini pia huwa ni wepesi kupotezea yaani mwanamke akizingua kidogo inaweza kula kwake mda wa kulilia mapenzi kubembeleza bembeleza wanawake hatuna na tunaonekana tuko serious saana na hatutaki mautani utani sijui kucheka cheka nooChangamoto
- Kuonekana domo zege
- Kutokuaminika kama wapo serious
- Kuonekana wana maringo
- Kuonekana wanajisikia
sio kweli mkuu, mimi sio mbishi. Na weweni introvert?Aisee sijaona mtu mbishi kama wewe ahahahah
Hapo kwenye melancholics ndo nilipo sasa na huwa napata sana shida kuweka miadi na watu sio tu wanawake na wengine yaani usipofanya tulivyokubaliana huwa nachukia na naweza potezea hata kama hilo jambo ni la faida kwangu na kukulaumu na kukuona mburura kabisa..Hatutakagi ujinga na uswahili sisiIntroverts kundi la phlegmatic ni wakimya mno na huwezi kujua kama wamekasirika au wamefurahi . Wanaweza kuwa wananyanyasika bila kusema . Kwa kifupi they are too dull .
Introverts kundi la melancholics siyo waongeaji lakini unaweza kuwatazama usoni ukajua kiwango chake cha furaha au hasira . Mara nyingi ni kundi la watu wanaolenga kwenye ukamilifu ( perfectionists ) , sasa changamoto ni kwamba hakuna mtu asiyekuosea ; nd'o maana wakikosea wao hawawezi kujisamehe na akikosea mwenzie hawezi kusamehe , kwa hiyo ni watu complicated ingawa ukiwaelewa huwa ni wakarimu mno na ni waaminifu na wenye vipaji vikubwa vya akili , utunzi na uvumbuzi .
Naomba kuwasilisha .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye aibu labda kipindi cha ujana lakini kwangu sina aibu naweza mtongoza yeyote bila shidaWakitaka kuanza mahusiano inawawia vigumu sana kuchukua hatua ya kwanza hasa kwenye kutongoza ni midomo zege!,Ni watu wenye hofu kuichukua hatua yoyote ile bila kuona usahihi wa yeye kuichukua hatua husika! Ni logics people so kufikia maamuzi kitu kimepangwa kikapangika!.
Wanakuwa disappointed ama wao wenyewe au watu waliomzunguka kutokana na ugumu walionaokuichukua hatua hiyo wengine huwaona kama si binadamu aliekamilika so husemwa vibaya sometime na yakimfikia hujisikia hovyo na huenda akaacha jambo husika.
Tabia pia za mhusika huenda zikamkwaza asichukue hatua ya kuamua kuingia kwenye mahusiano!
Let's say yeye ni mpole ila anatokea kumpenda mtu mwenye gubu,kukurukakara aisee hawapendi hivi.. wao wanapenda utulivu na maelewano.
Kutokuwa karibu na watu huwaleteleza kuwa na aibu,kutokujiamini mbele ya watu hasa jinsia iliyotofauti nae so hayo yanaweza mpatia ugumu ktk kutongoza n.k
Mkuu moja ya usuruhishi wa tatizo ni kulitambua tatizo introvert husubiri mahusiano ila pindi yafikapo huruka mbaliπ
Akiweza tambua kuwa ili kupata ushirikiano na watu na kujiongezea kujiamini ni lazima ashiriki na watu hili litamfanya awazoee watu,maana kwanza introvert wana akili nyepesi ya kutambua na pia inaweza mrahisishia kupata mwenza humohumo kutokana na mazoea n.k
Nadedaga Loloππ
Shikamoo babu..Hapo kwenye aibu labda kipindi cha ujana lakini kwangu sina aibu naweza mtongoza yeyote bila shida
π π π π Ila hapo kwenye kuanzisha story kwa kweli hata mm siwezi na pia huwa siko interested na vistori ujinga vya washkaji ,ukitaka story na mm ni ishu za msingi tuu lakini mambo mengine labda na watu/mtu naemwamini ndo tutastorika kidogo.Kwa kesi ya wanawake hata mm nime observe kwamba wakati mwingine wanakuona una sura ya kistaarabu huongei ongei so wanaona kwamba hutowachamba,ila mm nina asili ya kuwa muongeaji na vituko kwa mwanamke niliyempenda tuuHii hali kuna kipindi ilinipa shida sana hadi nikawa najichukia yani kuna mda nakua sitaki kabisa kuongea sasa unakuta niko na marafiki wanaongea sana mpaka naboreka naanza kujibu kwa kutikisa kichwa..
Now nimejitahidi kuacha naongea sana nikiwa na mtu au watu niliowazoea ingawa changamoto ipo kwenye kuanzisha storykama mtu hana story na hana interest na vitu ninavyopenda mimi basi tunaweza tusiongee kabisa.
Upande wa mahusiano nadhani huwa napata wasichana wanaonielewa na huwa siwapati kwa shida kabisa nina kama kupendwa flani sana na mabinti.
Najitahidi kuwa bora kila siku maana hii hali sio nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marhaba kijana,am not babu mm ni baba nowShikamoo babu..