Introverts Vs Relationship


mkuu, mimi natamani hata ninunue shamba kijijini huko nikaanzishe ranch niishi peke angu nilijaribu kujichanganya ila naona watu jau tu
lakini ni kweli ulivosema wakati mwingine tukijichanganya na watu sahihi tuna enjoy sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaelewaje mtu akisema introverts,unawatambuaje kwa sifa zao? Tuanzie hapo labda tutaenda sawa ila tambua tofauti ya introvert vs shyness
bahati mbaya sikuona hii quote mapema. Nadhani wengi humu wanachanganya shyness au lack of confidence na kua introvert. Ninavyofahamu mimi introverts hawapendi kusocialize iwe kwa maneno au kwa maandishi. Kama huwezi kuongea mbele ya watu ila unapenda kuchat, wewe sio introvert bali ni mtu mwenye aibu!
 
HAPANA sio kweli rudi kasome vizuri tena
 
Hongeraaa sana mkuu na sikuamaanisha hawapo introverts ya type yako ila ni wachache sana
 
Umenena vyema kabisa mkuu ila hapo kwenye kunena kwa maandishi kwa experience yangu wengi wanatumia kalamu vizuri sana katika kuwasilisha mawazo yao
 
inawezekana kwa sababu fulani fulani. Mpaka umri huu, nimekutana na introvert mmoja tu. Pia nimekutana na watu kadhaa wenye aibu na low confidence hahaa!
Sidhani mkuu
Yaani kwamba huna confidence ya kuongea hata na mzazi wako.

Ni vile tu mtu hayupo comfortable kuongea ongea Sana halafu kuwa na rafiki Ni Kama mzigo hivi unataka kuwa mwenyewe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu ndio King Zilla. I like you....nadhani nilishakuambiaga hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…