Mimi kuongozana na mtu wa kusimama simama njiani walahi atanikutia nyumbani.We acha tu.ww sasa huna chakufanya, unaanza shangaa ile mitungi ya mauwa na dustbins
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Uzi mmoja wa maintrovertAmna kitu kizuri kama kusoma hizi topics za introverts na extroverts. Kuna that feeling ya kurelate mambo unaipata you feel you are no not alone! And it's okay to feel that way kwa sababu hata wenzio wanapita Humohumo.
Naendelea kusoma comments hapa naomba ziwe fupifupi.
Mkuu nadhani wanatofautiana levelIntroverts wa JF mnachekesha sana. Wengi wenu hamjui hata maana ya introverts. In short, introverts find it hard to socialize. Sasa unakuta mtu yuko humu JF as an active member anaeanzisha threads na kuchangia kwenye mijadala mbali mbali alafu bado anajiita introvert. Mnachekesha!
Introverts wa JF mnachekesha sana. Wengi wenu hamjui hata maana ya introverts. In short, introverts find it hard to socialize. Sasa unakuta mtu yuko humu JF as an active member anaeanzisha threads na kuchangia kwenye mijadala mbali mbali alafu bado anajiita introvert. Mnachekesha!
View attachment Quiet_ The Power of Introverts in a World That Can't Stop Talking ( PDFDrive.com ).pdfAmna kitu kizuri kama kusoma hizi topics za introverts na extroverts. Kuna that feeling ya kurelate mambo unaipata you feel you are no not alone! And it's okay to feel that way kwa sababu hata wenzio wanapita Humohumo.
Naendelea kusoma comments hapa naomba ziwe fupifupi.
Wewe unaelewaje mtu akisema introverts,unawatambuaje kwa sifa zao? Tuanzie hapo labda tutaenda sawa ila tambua tofauti ya introvert vs shynessIntroverts wa JF mnachekesha sana. Wengi wenu hamjui hata maana ya introverts. In short, introverts find it hard to socialize. Sasa unakuta mtu yuko humu JF as an active member anaeanzisha threads na kuchangia kwenye mijadala mbali mbali alafu bado anajiita introvert. Mnachekesha!
Hizo mbili za mwisho nakubaliana la mini za kwanza hapana. Mimi ni introvert lakini mpaka sasa nimeshachakata K 170+Changamoto
- Kuonekana domo zege
- Kutokuaminika kama wapo serious
- Kuonekana wana maringo
- Kuonekana wanajisikia
Nyuma ya baobonye (keyboard) ndio sehemu yetu adhimu ya kusocialize...here we may be extrovert but out there we are as always
Sent using Jamii Forums mobile app
Introverts wa JF mnachekesha sana. Wengi wenu hamjui hata maana ya introverts. In short, introverts find it hard to socialize. Sasa unakuta mtu yuko humu JF as an active member anaeanzisha threads na kuchangia kwenye mijadala mbali mbali alafu bado anajiita introvert. Mnachekesha!
Kuna Uzi mmoja wa maintrovert
Ukisoma utasisimka
Nimeureply muda si mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
so, you're literally using a social network to explain your anti-social behaviour? You sound funny!Nyuma ya baobonye (keyboard) ndio sehemu yetu adhimu ya kusocialize...here we may be extrovert but out there we are as always
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kweli shidahuyu anapenda mtoko huyu hapendi. Mmoja anajichanganya mwengine anapenda mkae nyie tu wawili. Au kuna muda wanakuwa wakimya kama umemuudh kumbe hamna shida kabisa, badae akisha charge akiwa full yy anakuchangamsha. Ila ukishamjua haikupi shida, unampa ka space kidogo akiwa yy na ww unakuwa ww then u meet n enjoy.
Sent using Jamii Forums mobile app
introverts wa humu mnapiga story. Hapa ndipo mnaponichanganya zaidi.Mkuu nadhani wanatofautiana level
Hiyo level yako Ni ya juu mno..
Unajua wengi wapo humu kwa kuwa humu ndio sehemu pekee wanayoweza kupiga story
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui namna ya kushare hapaUnaitwajee ,?
Yamenifika hapa introvert tunaonewa sana! Kuna demu alikuwa mpaka ananifundisha kumuomba uchi
Alijua udhaifu wangu live to live siwezi ongea ila kwa sms dah! Nilikuwa namkalisha mpk ananipigia niseme hayo maneno niliyokuwa namuandikia!
Hapo ndo kazi ilipokuwa
Mtu naongea nae kwenye simu lkn Yale maneno hakuna!.
Nilipata tabu! Anajua kabisa nachokitaka ila omba yangu sasa ni tumaneno tuwili tu nimemaliza ila yeye anataka nianzie mbali Mara hivi Mara vile,Tena kwa kuongea!
Msiwe mnatufanyia hivi nyie wadada tueleweni tulivyo.. kizungumza wengine tabu kidogo,dodoso moja la pili linatosha.
Na nyinyi extrovert msiwe mnawajaza maneno hawa wadada mnatupa kazi kuja kuyapangua na vile kuongea mnatuzidi ni mtihani kwelikweli..
introverts wa humu mnapiga story. Hapa ndipo mnaponichanganya zaidi.
introverts wa humu mnapiga story. Hapa ndipo mnaponichanganya zaidi.
Ukijibadilisha unakuwa outgoing introvert.