Introverts Vs Relationship

Hahahaha
Umefikia wapi sasaivi kwenye mahusiano mkuu
 
Mahusiano ya introvert yanadumu endapo atakuwa na ambaye ni muelewa sio lazma awe introvert mwenzake but aelewe tu kwamba jamaa yake haishi by the society standards bali kwa maamuzi yake. Mara nyingi introvert ni watu wenye misimamo mikali na hawaishi kwa kuwaridhisha watu bali wanaishi katika namna ambayo wanayoona ni sahii, Pia introvert ni mtu ambaye kukatisha mahusiano ni swala la dakika hawapendi kubembeleza mtu(Kama ni mwanamke umempenda mkaka ni introvert Yale mambo ya kubembelezwa ni vyema ukasahau kwa muda).

Faida ya kuwa na mahusiano na introvert mara nyingi introvert ni watu waaminifu, wana akili sana, hawana drama, siyo wafujaji wa mali/hela, Ni watu wasio na kauli chafu,Siyo wanafiki.
 
Kwahiyo bado unaandikaga barua mpaka leo?
 
Haloo umemuongelea baby wangu mtupu sa itakuwaje mi napenda kubembelezwa?
 
Kizibo kama kizibo
 
Introvert anabidi ampate extrovert ili amsaidie kumuwakilisha ktk mikutano na kwa majirani n.k

BTW" mm sijijui Kama introvert au extrovert nafkiri mm mixer.
 
Kuna Para umenigusa hapo eeeh! Humble Int
 
🥂🥂🥂🥂🥂🍾🍾🍾
 
Huhuuuuuuuuuu🥂🥂🥂🍾🍾🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Kuna uzi nimeona unaongelea tatizo la Autism(usonji), mbona kama baadhi ya tabia za hawa watu zimefanana na za introverts! Kipi ni kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…