Introverts Vs Relationship

 

Aisee tuna mitihani mno mtu mpk ueleweke umepata tabu sana!
 
hahaaaa hii ni kweli..kuna gf wangu introvert siku za mwanzoni ilinipa shida sana...

anaweza akaamka asubuhi akawa kimya hata haongei mpaka najishtukia labda kuna kitu hakiko sawa...ila baada ya muda anachangamka

ila nimemuelewa sana now na hainipi shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanataka sijui tuwe tunatembea kusalimia majirani nyumba kwa nyumba

Wanataka utoke ukapige story...ni zoezi nilisiloliweza

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee hii kitu ilinishinda jamani sijui vya kutembelea mtu mara ushost wa hapa na pale yaani ni ulinishinda kabisaaa! It reach a point yng hadi simu yangu ikiita najua huyu ni flani na most of the time km sio mama yangu ni my boyfriend basi! Akipiga mtu mwningine ni ana jambo la dharura mno nishasemwa hadi na ukoo kua sipogii watu simu sasa najiuliza napiga niwaambie nini na wote tu wazima Mungu wangu! Boyfrnd wng ilikua anaulizwa kila siku umewezaje kua na huyu mwanamke au unaishije ishije nae vipi mara wengine ulimpataje bila kujua ni mimi ndie niliemtamkia kua I like him sema kumbe na yy alikua ana interest na mm muda sema alikua ananiogopa tu kwa hiyo ilikua ni kumsukuma mlevi tu...mwnyw anakwambia sikuwahi kujua una upendo kiasi hiki and unarespect ur man like this sababu nje mtu anakuona km jeuri...sijui watu wanakuaga na perpeception gani yaani
 
Hahah!
Mimi simu yangu kwa sasa nimeweka silent mode.
Sitegemei kupigiwa..wanaonipigia wote nipo nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
95% Wewe upo kama mimi, kilichotutofautisha ni jinsia tu nadhani.

 
Mimi ndani ya miezi hii miwili siku nilizotoka hazizidi 5

Huwa natoka kwa vitu muhimu tu.
Hata nyumbani Kama Sina Cha muhimu Cha kufanya nje ninaweza nikakaa chumbani siku nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
🙄
Dawa ya wewe ni kukuwekea mjusi humo chumbani mbona utatoka tu!
Kama sio mjusi basi ni mgegedo mpaka humo chumbani utapaona jehanam..😜
 
Mi ni introvert, tena yule hasa kabisa kabisa!
ili niwe sawa lazima nidate Ambivert
Nikidate intro mwenzangu nafwa
nikidate extro balaa

sasa hawawa kati hawa ndo wanakuwaga my most memorable relationships!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…