Introverts Vs Relationship



Tuanze na wewe kwanza, una matatizo gani maishani ya kutopata wanawake wa kujamiana nao?
 
Chizaa gete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww n wa shy
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiufupi Intros hawajaumbiwa mapenzi!! Maana hawayawezi
Angalia real introvert kama Yesu, Tesla, Newton, Da Vinci, nk nk hawakua na wapenzi.
Usimweke YESU katika hiyo list ya wavuvi...
 
Hivi Diamond ni introvert? Naomba km kuna mifano halisi kwa public figures tuwafahamu
 
Kwakweli umenisema kama nilikuhadithia nilivyo... .I'm melancholics
 
First of all, we don't know how to approach. Huwa tunapata muda mgumu sana katika kutongoza labda mpaka tupewe pasi ya kisigino mbali na hapo huwa tunaishia kufa na tai zetu shingoni kwa sababu ya uoga kama wasemavyo watu ingawa siyo kweli bali huwa tunafanya risk assessment eg nitaonekanaje nikikataliwa? etc.

Second of all, most women take us for granted since we do really love ( When we love, we do really love ). However, as you know, everything must be limited, upendo ukizidi huwa unaleta kero. Hivyo katika mahusiano hili nalo ni tatizo kubwa sana.

Further, huwa hatufanyi maamuzi ya haraka hata siku moja. Kwa sababu huwa tunahuruma sana na hofu ya kwamba tutaonekanaje kwa jamii endapo tutafanya hivyo.

Pia, huwa hatupendi kuchangamana na watu wengi. wakizidi wawili tu inakuwa ni tabu kwa introvert kwa sababu hautoona anachangia hata siku moja( Hivyo watu wanaweza kukufikiria kwamba unaringa). Pia kutokana na kuwa hivyo unaweza sababisha mwenzako(mpenzi wako akaboreka na kuchukia). Huenda huko alikokuwa alikuwa na mtu ambaye ni comedian. leo hii kakutana na mtu ambaye haujui u-comedian.

Kadhalika, katika reasoning na kutoa good and reasonable decisions tuko vizuri sana kwa sababu huwa hatukurupuki hata kidogo.

Mwisho, extroverts huwa wanatuchukulia au wanatuona kama wadhaifu sana mfano katika mahusiano kama mwanamke akizingua huwa hatuna maamuzi ya haraka. Hapo sasa ndipo wanatuona kama wadhaifu.
 
Tatizo binamu yangu amekariri definition. Enzi hilo neno linatafsiriwa hakukuwa na mitandao kama jamiiforums, ingekuwepo wakati huo bila shaka wangefafanua
introvert ninaemfahamu mimi hana aibu wala hana tatizo la kutokujiamini. Enzi za chuo, muda pekee utakaomuona akiongea ni wakati wa presentation. Na hapo ndio atakushangaza kwa uwezo wake wa kupresent kwa kujiamini. Tofauti na hapo, hautamsikia tena. Group la darasa aliandika text mara moja tu ndani ya miaka sita niliyokua humo. Nyinyi wengine mnasumbuliwa na aibu tu na kutokujiamini hehee!
 
Mimi sina aibu hata kidogo binamu,naweza kusimama nikaongea au nikaimba mbele ya kundi la watu.
 


Kumbe wewe pia ni introvert?
 
Hahaha..yaani naongelea mwanaume introvert na mwanamke extrovert au mwanaume extrovert na mwanamke intovert
Unakuta una mtu yaani akianza kuongea lawama anaweza ongea saa Zima ..wewe upokimya..
Unaweza kukaa siku nzima hujamtafuta mtu kutokana na kazi na ukaona normal lakini mwenzio Hilo kwake Ni kosa..kwa hiyo shida huja hapo
 
sawa jamani, nimekubali nyinyi ni maintrovert. Kiroho safi binamu!
Mimi sijalazimisha kuwa ni introvert ila nikiangalia yanayosemwa kuhusu hao watu mengi yananihusu ndio maana nilisema unitafutie jina unanipa jina bayaaa...upande wa aibu mimi nakataa sijawahi kuwa na aibu hata kidogo hadi kuna rafiki yangu alikuwaga ananisema eti mwanamke unakuwaje na macho makavu hivyo😂😂😂
 
Mimi debate nilikuwa nashiriki vizuri kabisa na nikipangwa naparticipate vizuri sema hadi nikukubalie kushiriki ufanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…