KiperaTanzu
Member
- Jan 3, 2019
- 14
- 7
Kabla into the badlands haijaisha nishagundua Azra ni illusion tu
Imefkia patam new program itafanikiwa
Black lotus wataua Habingers wote na dark pewered wote
MK hajashtuka. Anazidi kumuamini. Amemwambia Elli kwamba Pilgrim ndie mtu pekee aliyemwambia ukweli. Kwamba Azra sio sehem ya kwenda bali ni sehem ya kuipigania, kuijenga na kujitoa sadaka ili ipatikaneNk Kam kastuka yule black haaminiki
MK hajashtuka. Anazidi kumuamini. Amemwambia Elli kwamba Pilgrim ndie mtu pekee aliyemwambia ukweli. Kwamba Azra sio sehem ya kwenda bali ni sehem ya kuipigania, kuijenga na kujitoa sadaka ili ipatikane
Vipi kuhusu sunny atapewa nguvu zake na kanan na hapohapo kanan kashapoteza gift zake natamani kujua pilgrin nani atamdhibiti na sunny kaambiwa akipewa gift zake ambae atazi switch off ni pilgrin ambayo inaweza ikamfanya sunny afe ila anachoamini sunny si maisha yake yeye ila tu amsave mwanae henry basi.Black lotus wataua Habingers wote na dark pewered wote
Anaitwa MagnusNani yule mkuu?
Get the Latest movie/tvShow app at https://cinemaapk.com/Hello, naomba link ya S03E16 tafadhali.
Ahsante sana mkuuGet the Latest movie/tvShow app at https://cinemaapk.com/
Pakua hii app mkuu ni ndani ya dk kadhaa ushashusha mzigo na uzuri jamaa walikuwa wanatoa saa 12 asubuhi tofauti na website wao huchelewa sana.
Nadhani kuna season nyingine...Sunny kafa dah aseee pia kamaliza lengo lake hope mzigo ushafika mwisho maana hata ikiendelea haitonoga tena kwakweli.
Kabisa, hata widow naye nguvu zimerudi(nadhani ni zile alizoachiwa na master kabla hajafa)...Nadhani kuna season nyingine...
Sunny bado hajafa,zile power zake zilikua unlocked kama uliangalia kwa umakin macho yake yaliwakaa...sasa zile zinamrudisha taratibu
master kasema ndo kwanza kazi inaanza kwahyo into the badland bado sanaNadhani kuna season nyingine...
Sunny bado hajafa,zile power zake zilikua unlocked kama uliangalia kwa umakin macho yake yaliwakaa...sasa zile zinamrudisha taratibu
Kweli mkuu...hata yule pilgrim kama hawajamtenganisha kichwa na kiwiliwili si ajabu akarejea tena..Kabisa, hata widow naye nguvu zimerudi(nadhani ni zile alizoachiwa na master kabla hajafa)...
Kuhusu Sunny sidhani kama amekufa maana ulimwengu alipotokezea ni uleule aliopelekwa Widow na master na hatimaye wamekutana ambapo master anamuonya Sunny kuwa mapambano ndio kwanza yanaanza kwakuwa yanatarajiwa maovu zaidi kama malipo ya walichokitenda kwa super power... Nafikiri Season 4 iko njiani..tusubiri
Ana nguvu moja kali sana widow mpaka ile chamber ilikuwa inatetemeka alipobadirika.Kweli mkuu...hata yule pilgrim kama hawajamtenganisha kichwa na kiwiliwili si ajabu akarejea tena..
Widow akiwa hana zile nguvu tu ni balaa..sasa kazipata zile sijui itakua je aisee,
Ile Nguvu si ya kitoto,na hakuna anayeijua ispokuwa MK na masterAna nguvu moja kali sana widow mpaka ile chamber ilikuwa inatetemeka alipobadirika.