Sasa Mkuu hizo nguvu atazipata vipi kwa mwanae while jamaa alishabeba zote kutoka kwa yule mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ntapataje hiyo episode ya 12?Nadhani Sunny atazipata kutokana na matumizi mabaya ya nguvu kwa Pegrim,check vizuri episode ya 12,Master alimuonya juu ya hili na dalili zimeonesha hivo pale msituni Pegrim alianza kuweweseka sana...vile vile kama Bagie ataendelea kuwa hai kuna uwezekano mkubwa akamsadia kuzirudisha kwakuwa anafahamu vitu vingi na anazo hizo nguvu pia
Sent using Iphone
Bajie naamini hajafaNadhani Sunny atazipata kutokana na matumizi mabaya ya nguvu kwa Pegrim,check vizuri episode ya 12,Master alimuonya juu ya hili na dalili zimeonesha hivo pale msituni Pegrim alianza kuweweseka sana...vile vile kama Bagie ataendelea kuwa hai kuna uwezekano mkubwa akamsadia kuzirudisha kwakuwa anafahamu vitu vingi na anazo hizo nguvu pia
Sent using Iphone
Pilgrim anamtegemea sana MK. Ikiwa Widow, Sunny, Bajie, Lydia, Moon, Tilda na hawa monks wa Master wakishirikiana basi Pilgrim hana chake pale. Master na Ankara wanatosha kutrain watu hawa mpk kumstop Pilgrim. La sivyo Pilgrim na wale Black lotus wakiungana na akafanikiwa kuwashawishi wale Monks wenye Gifts waungane nae daaah mm ikitokea nitaacha kuifuatiliaNadhani Sunny atazipata kutokana na matumizi mabaya ya nguvu kwa Pegrim,check vizuri episode ya 12,Master alimuonya juu ya hili na dalili zimeonesha hivo pale msituni Pegrim alianza kuweweseka sana...vile vile kama Bagie ataendelea kuwa hai kuna uwezekano mkubwa akamsadia kuzirudisha kwakuwa anafahamu vitu vingi na anazo hizo nguvu pia
Sent using Iphone
Ankara is dead.Pilgrim anamtegemea sana MK. Ikiwa Widow, Sunny, Bajie, Lydia, Moon, Tilda na hawa monks wa Master wakishirikiana basi Pilgrim hana chake pale. Master na Ankara wanatosha kutrain watu hawa mpk kumstop Pilgrim. La sivyo Pilgrim na wale Black lotus wakiungana na akafanikiwa kuwashawishi wale Monks wenye Gifts waungane nae daaah mm ikitokea nitaacha kuifuatilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh tena kweli. Duuh
Pakua hiyo app utakuwa unapakuwa humo Mkuu-ndugu yangu.
Monks kashawachukua,Black lotus sijui watafanya maamuzi gani! Na hatimae sunny kakutana na dada yake na kunakoendea anaweza rudisha nguvu zake,bajie mzima bado,The Master ka disappear ila Kampa Siri Kuhusu Pilgrin Widow Daah I can't wait Ep 14 asee.Pilgrim anamtegemea sana MK. Ikiwa Widow, Sunny, Bajie, Lydia, Moon, Tilda na hawa monks wa Master wakishirikiana basi Pilgrim hana chake pale. Master na Ankara wanatosha kutrain watu hawa mpk kumstop Pilgrim. La sivyo Pilgrim na wale Black lotus wakiungana na akafanikiwa kuwashawishi wale Monks wenye Gifts waungane nae daaah mm ikitokea nitaacha kuifuatilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kaangalie vichekesho vya maduhuUongo wa njenje kupigana kitoto
Niliangalia episode moja wanapigana juu yya mnara na mdada kavaa high hills uku anapanda nguzo kwa miguu tu nkazima nkaendelea na The tudors yng
Nadhan unamzungumzia Minerva na Moon [emoji23][emoji23][emoji23]Uongo wa njenje kupigana kitoto
Niliangalia episode moja wanapigana juu yya mnara na mdada kavaa high hills uku anapanda nguzo kwa miguu tu nkazima nkaendelea na The tudors yng
Master ameadmit kwmb alikuw akiwaficha baadhi ya mambo wale Monks kwa kuwa alikuw hataki walete madhara huko mitaani. Ndio maana ameeleza jins ilivyokuwa kwake mara ya kwnz kugundua kuwa ana dark power. Pia season 1 kama unakumbuka MK nae kuna watu kwny meli aliwaua vibaya sana kwa kuwa alikuw hawez kuzicontrol nguvMonks kashawachukua,Black lotus sijui watafanya maamuzi gani! Na hatimae sunny kakutana na dada yake na kunakoendea anaweza rudisha nguvu zake,bajie mzima bado,The Master ka disappear ila Kampa Siri Kuhusu Pilgrin Widow Daah I can't wait Ep 14 asee.
Yeah Mkuu Unahisi nini kitaendelea kwa Upande wa sunny na yule inaesemekana sister je ni kweli!Master ameadmit kwmb alikuw akiwaficha baadhi ya mambo wale Monks kwa kuwa alikuw hataki walete madhara huko mitaani. Ndio maana ameeleza jins ilivyokuwa kwake mara ya kwnz kugundua kuwa ana dark power. Pia season 1 kama unakumbuka MK nae kuna watu kwny meli aliwaua vibaya sana kwa kuwa alikuw hawez kuzicontrol nguv
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli sijui nn kinaendelea maana Kannin ndio inaonekana anajua ni wapi wanaelekea. Fikiria hata wakienda kwny Oasis wakute magofu coz minerva amepachoma moto, kumbuka Bajie alikuw hajapata ripot ya nn kinaendelea.Yeah Mkuu Unahisi nini kitaendelea kwa Upande wa sunny na yule inaesemekana sister je ni kweli!