Into the Badlands Season 3 returns

Into the Badlands Season 3 returns

Hivi kwanini hawatumii bunduki?
Iie inaitwa The fight without a Gun boss Mule ni hizo dark power,panga na mkono mkavu mkavu very unique pia nahisi pia theme ya movie inavozungumzia ni maisha flani hivi sio ya kisasa hata gari zao ukiangalia location technology very analogy kama umeona zile gps wanazotumia ni very analogy hamna simu mule.
 
Magobole yalikuwepo kabla ya magari
 
Iie inaitwa The fight without a Gun boss Mule ni hizo dark power,panga na mkono mkavu mkavu very unique pia nahisi pia theme ya movie inavozungumzia ni maisha flani hivi sio ya kisasa hata gari zao ukiangalia location technology very analogy kama umeona zile gps wanazotumia ni very analogy hamna simu mule.
Tech ya gun tayari ilikwepo..sema kwa stor ile dunia ilipata majnga makubwa ndio wakarudi kule walipo sasa,
 
Mwisho wa episode ya 16 dogo kapata bunduki(pistol) labda hapa ndipo mwanzo wa ulimwengu mpya
 
Inawezekana kukawa na season 4 na inawezekana yule dogo alieokota pistol ambae nadhani ndo kabaki peke yake anaweza kuwa new threat kwa majamaa kwa mujibu wa master kuwa kuna nguvu nyingine kubwa inakuja.
 
Hivi hii ambayo tilda pelegrin na MK wamekufa ni session ipi?
 
Season 3 hiyo boss ilikuwa ina jumla ya EP 16 ambazo zilionyeshwa 8 zikakatwa wakaja onyesha tena 8 zingine.
 
Naomba mwenye link ya hii kitu kuanzia Season1 hadi ilipo ishia
 
Welcome into the AMC's into the badland..weee hatari
 
Back
Top Bottom