Into the Badlands Season 3 returns

Into the Badlands Season 3 returns

Joined
Sep 17, 2018
Posts
41
Reaction score
49
Into the Badlands Season 3 returns on Sunday, March 24 at 10 p.m. ET. AMC confirmed the date at their 2019 TCA winter press tour appearance. Into the Badlands Season 3 first premiered on Sunday, April 22nd. You can stream the latest episodes on AMC's website

Clink the following link to watch

unnamed.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwani hii iliishia s2 au ,maana niliiangalia kitambo kweli aisee

Hii ni Mpya au ?? Kama Mpya imetoka link??
 
Je ni nani yule? Na vipi sunny hivi ni nani atamfungua nguvu zake maana naona hakuna wa kumgusa Pelegrin kwa sasa na anazidi kuitengeneza ngome yake

Bagie naona ni kama hajafa coz ana zile super power na kama ulivyoona kwa Witch na Master jinsi walivyokuwa wanajaribu kujitibu majeraha yao....Sunny anaweza kupata nguvu zake kupitia mtoto wake kwa kuwa Pegrin anaonekana kuzidiwa na matumizi ya nguvu zaje kwa kuwa hakuzaliwa nazo na alimuhitaji Sunny na mwanae kuzipata

Nimekusoma mkuu acha j3 hii tuone
 
Sasa Mkuu hizo nguvu atazipata vipi kwa mwanae while jamaa alishabeba zote kutoka kwa yule mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ni nani yule? Na vipi sunny hivi ni nani atamfungua nguvu zake maana naona hakuna wa kumgusa Pelegrin kwa sasa na anazidi kuitengeneza ngome yake
Yule jamaa kama uliangalia vzr ep hiyo ya 12,ule muda wakati yule witch anaongea na akina Bajie na Sunny kabla ya kuvamiwa na hao black Lotus, alimtaja jina sema nimelisahau tu na bahti mbaya nimeshaifuta ila alimtaja kwamba alifanya kosa hakumshughulikia enzi hizo.

Upande wa Bajie kuna mahali nimeona kama atasavaivu maana ni kama vile ametajwa kwenye episode za mbele huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom