Shemela ngeli Ya kuandika inatosha. ππππ.
Ile ya kuongea inachosha aisee.
Alaf Mostly kazi nying unatuma mail kwa kingereza alaf mnawasiliana oral au simu kwa kiswahili.
Bana bana. Mikeka imechanika .Aaagh balaa sana.
Ngoja weekend tena nikitumiwa code na jamaa ntakushtua.
Alaf kuhusu Abaya nakumbuka pia πππ.