Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,423
- 54,876
Hapana hawaonekani aiseee kuna watoto wakali tuuu nimechukua namba ya mmojaGood mishangazi ilikuwepo?
Hapana sio kwa ngeri ile kaka khaaaaa...Mdg wangu bila kujifunza ngeli kwa dunia hii ni ngumu,, kaka yako nipo kuboresha kimombo kupitia Duolingo na chatgpt plus kusikiza podcast za kimombo,
Daaah ndgu acha kabisa pipo zipo seriously sijajua lengo lao nn maana huku nje tunapiga story vzr ila mule ndani jamaa alibadilika an alivoanza kujitambulisha tuu nikajua leo cha kikeHahaha pole sana
Mazoea kazini hakunaDaaah ndgu acha kabisa pipo zipo seriously sijajua lengo lao nn maana huku nje tunapiga story vzr ila mule ndani jamaa alibadilika an alivoanza kujitambulisha tuu nikajua leo cha kike
Mbna hakusema kama ntawaoji kingereza sasa an tunafika mule jama hata acheki aiseee. AiseeeeMazoea kazini hakuna
Unataka acheke ili iweje?? Ukicheka na kima utavuna mabuaMbna hakusema kama ntawaoji kingereza sasa an tunafika mule jama hata acheki aiseee. Aiseeee
Sema all in all nimempa jamaa majibu ambayo hata roho yake huko anajiuliza if nina akili au laaa ππππππ₯π₯π₯Unataka acheke ili iweje?? Ukicheka na kima utavuna mabua
Nitumie PM nina maelekezo maalum kwa huyo mtoto mkali mmojaHapana hawaonekani aiseee kuna watoto wakali tuuu nimechukua namba ya mmoja
Umetema cheche za umemeSema all in all nimempa jamaa majibu ambayo hata roho yake huko anajiuliza if nina akili au laaa ππππππ₯π₯π₯
Nje pale mlikua mnachorwaDaaah ndgu acha kabisa pipo zipo seriously sijajua lengo lao nn maana huku nje tunapiga story vzr ila mule ndani jamaa alibadilika an alivoanza kujitambulisha tuu nikajua leo cha kike
Yaan umeshindwa hata kusema NO & YeS, Yeah, You know, Etcetera hivyo yaan unaniangusha MzeeHapana sio kwa ngeri ile kaka khaaaaa...
An hapana aiseee yule jamaa sijui ni mzambia
Ahhaahha we jamaa ππππππNitumie PM nina maelekezo maalum kwa huyo mtoto mkali mmoja
Nimesema kiasi chake akasema your deep natural... Sijui nn huko manina yuleYaan umeshindwa hata kusema NO & YeS, Yeah, You know, Etcetera hivyo yaan unaniangusha Mzee
Oya wewe si unaruka na Mishangazi ndio maana nikakuuliza hakukua na Mishangazi huko ikuongezee ung'eng'eAhhaahha we jamaa ππππππ
Ngoja kwanza ni mnawe kaka
Hmna wamama huko wadada wembamba tuu mwanzo mwisho anOya wewe si unaruka na Mishangazi ndio maana nikakuuliza hakukua na Mishangazi huko ikuongezee ung'eng'e