Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,056
Weka picha tuone ndugu.Ni uwanja wa mpira hii show ni nzito
Weka picha tuone ndugu.Ni uwanja wa mpira hii show ni nzito
Bado sisi wa kesho saa 14.00-15.00Ni uwanja wa mpira hii show ni nzito
Kwa nafasi ngapi?Kwa nini hizi aptitude test wasiwaambie watu wafanyie online?Ni kuchosha watu na kuumiza watu hisia.Wao wafanye aptitude test online kisha hizo gharama wawape kama bonus kwenye mshahara.Kwenye test ya mwaka jana
waliita interview kama sijakosea watu 1800
Weka picha tuone ndugu.
Achaaaa Masihara Mbona Naambiwa Raia Ni Wachache Wengi Wamekwama Kwenye Documents Au???Mkuu watu ni wengii sanaa kama ni taifa inajaaa na mbaya zaid hii ni bunch ya leo badoi kesho na keshokutwa
Achaaaa Masihara Mbona Naambiwa Raia Ni Wachache Wengi Wamekwama Kwenye Documents Au???
Naam Naam Basi Itakuwa Wameshortlist Watu 750, Leo Mtu 250 Kesho Na keshokutwa. Uwingi Wa Raia Ni Kutokana Na Criterias Walizoziweka Kwenye Maombi. Ila Mara Nyingi Aptitude Tests Zinapururaga Raia Sio Mchezo.Kiongozi nipo apa interview ilitakiwa ianze saa nane mpka saa tisa ila mpka sasa ni saa nane na dakik 45 bado nipo kwnye foleni mbele yangu kuna watu sio chini ya 200
kuna baadhi ya maswali n ayakumbuka ni kama haya
1.chagua namba iliyokubwa kati ya namba tatu utazopewa mfano 485,545 na 105 not actual nimekupa hint
2.nani mrefu zaidi ya mwenzake na nani mfupi kuliko aliyemfupi zaidi kuna john ,juma na lulu
3.tafuta % ya sehemu iliyotumika kwa chakula kutokana namatumizi ya john kwenye mshahara wake ikiwa mshahara wake ni tsh.2000 hapo unapewa cirle ndani ikiwa na matumizi kama usafiri,malazi,menginenyo
4.utaje maneno yanayofanania kimaana hapo unapewa sentensi kisha uchague a,b,c au d neno linalofafanana na sentensi mfano kazi yake ni kutibu halafu unaambiwa majibu ni mwalimu,dakatari,polisi au rubani
5.kuna maswali ya computer pia basic application zipitie hizo hasa software na hardware computer parts/components na kazi zake
6.banking athics ,kyc na AML
mungu akutangulie najua nishakuokolea dakika tano zile za kutafuna peni na kusema another paper please uwape kihoro wenzio i hope utafanya vyema ushauri tu fanya kama unaitaka kazi usifanye kwasababu umebahatika kuitwa tutakula OT sikumoja byee ukikwama nipigie +255764530882
mimi sifanyi nilishapitaga kitambo mungu alikuwa upande wangu tuko tunasogeza gurudumu na kuangalia kalendaUlikuwepo kwny interview
Maswali ya hesabu za kawaida kuzidisha, sehemu, percentage mengine sikumbuki, lakini nasikia pepa zinatofautianaNaomba maswali kdg km unakumbuka
Toa dondoo kidogo za maswali mwanakwetuNdio tumetoka wa saa 5-6, saa 8 pepa ndio ilianza na pepa ni dk 40 tu. Maswali ya kawaida tu, hesabu na maswali ya uelewa fanyeni aptitude za online free ili kujiandaa kisaikolojia.
atupe kiroho safiToa dondoo kidogo za maswali mwanakwetu
Yan mkuu unatoka government unaenda TPB? 🤣 🤣 🤣 Anyway-Nimeshindwa cha kuongezea manake waliopo kwenye banking sector hasa junior positions huwa wanahangaika kuhamia gvt.uptitude test most off huwa ni za kuchagua no maelezo ila huwa ngumu mana kila jibu huwa ni sahihi
sema kuna lile correct one apo ndo mbinde nishafanya ya nnb na majibu yanatoka apo onthe sport when u submit
unambiwa umepass to another stage or sorry try again
so uelewa unaitajika
nitakuwepo ingawa nipo kazini serikalini but what we a looking for is best and good salary
Aisee basi hii interview itakuwa na watu kama treni kumbe kuna saa 5 had 6 na 8 hadi 9 duuuuuhWakuu wa kesho saa 5-6 mpoo?