Hatari walishaanza kunikatisha tamaa mi wa mpakani huku kujifungasha hadi dar.Daa nilidhani nimeitwa peke yangu, kumbe kijiji
Halafu hizo aptitude test, tungefanya tu online kama crdb na nmb kupunguza gharama na usumbufu usio walazima
Utaaribu nauli bure ndugu, ndio maana nikasema bora wangeifanya tu iwe onlineHatari walishaanza kunikatisha tamaa mi wa mpakani huku kujifungasha hadi dar.
Maswali mazuri sana kwenye oral interview. Lakini kwenye aptitude test ni tofauti kabisa aseekila la heri dogo, interview inaweza kuwa na maswali haya:
1. Tell me about your ability to work under pressure?
2. What field experience do you have for a BANK OPERATIONS OFFICER POSITION?
3. What have you done to improve your knowledge for a BANK OPERATIONS OFFICER POSITION IN THE LAST YEAR?
4. Tell me about yourself
5. Why do you believe we should hire you?
6. What knowledge do you have about the company?
7. Why are you leaving last job?
8. What do you consider to be your best strength?
9. What do you consider to be your biggest weakness?
10. What do you see yourself doing in five years?
11. What are your salary expectations?
12. Do you have any questions?
Huwa zote nmb ,crdb zinafananauptitude test most off huwa ni za kuchagua no maelezo ila huwa ngumu mana kila jibu huwa ni sahihi
sema kuna lile correct one apo ndo mbinde nishafanya ya nnb na majibu yanatoka apo onthe sport when u submit
unambiwa umepass to another stage or sorry try again
so uelewa unaitajika
nitakuwepo ingawa nipo kazini serikalini but what we a looking for is best and good salary
jamani kila mtuu ajisomee ajuavyo aya matango pori mengine upotoshaji ili uingie chakaaaaHuwa zote nmb ,crdb zinafanana
Mara ya mwisho nimefanya ya crdb baadhi ya maswali yalikuwa kama hayo ninamba ndogo ndogo lakini ukikaa ufanye zinakutoa jasho
Huwa yamegawanyika sehemu kuu tatu
1.Numerical
2.Situational
3.Lugha*grammar View attachment 1717011
Naifikilia hela yangu ya nauli aseehUtaaribu nauli bure ndugu, ndio maana nikasema bora wangeifanya tu iwe online
Ni hatariHuwa zote nmb ,crdb zinafanana
Mara ya mwisho nimefanya ya crdb baadhi ya maswali yalikuwa kama hayo ninamba ndogo ndogo lakini ukikaa ufanye zinakutoa jasho
Huwa yamegawanyika sehemu kuu tatu
1.Numerical
2.Situational
3.Lugha*grammar View attachment 1717011
Uko wapNaifikilia hela yangu ya nauli aseeh
Niko mkoa wa mpakani huku ndanindani na hakuna gari la dar ni safari ya kuungaunga.Uko wap
Mkuu kausha tu,mi mwenyewe wameniita tarehe 8,mda kuazia saa nane Hadi saa Tisa,mi Niko mwanza nauli tu kwenda na kurudi Ni 90000,garama za malazi kujibana siku mbili 30000,chakula ukijibana Sanaa 20000 jumla haraka haraka 150000Niko mkoa wa mpakani huku ndanindani na hakuna gari la dar ni safari ya kuungaunga.
Nimuingize nani chaka au nipotoshe nani mtoa mada ameuliza swali na hayo ni baadhi ya maswali niliyofanya aptitude test crdb, sema yalikuwa ya kuchagua majibu sikuandika.jamani kila mtuu ajisomee ajuavyo aya matango pori mengine upotoshaji ili uingie chakaaaa
kumbuka si kila aitie bwana bwana ataokolewa
,Ni hatari
Ni shida mimi ni safari ya siku mbili hadi tatu.Mkuu kausha tu,mi mwenyewe wameniita tarehe 8,mda kuazia saa nane Hadi saa Tisa,mi Niko mwanza nauli tu kwenda na kurudi Ni 90000,garama za malazi kujibana siku mbili 30000,chakula ukijibana Sanaa 20000 jumla haraka haraka 150000
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Potezea tu bora ungekuwa usha vuka written interview umeitwa oral ndio ungefunga safari.Ni shida mimi ni safari ya siku mbili hadi tatu.
Hii aptitude na mimi nilifanya ila nadhani ilikuwa ya watu wa math, statistics na actuarial science kozi nyingine waliletewa vitu vingine japo sina uhakikaHuwa zote nmb ,crdb zinafanana
Mara ya mwisho nimefanya ya crdb baadhi ya maswali yalikuwa kama hayo ninamba ndogo ndogo lakini ukikaa ufanye zinakutoa jasho
Huwa yamegawanyika sehemu kuu tatu
1.Numerical
2.Situational
3.Lugha*grammar View attachment 1717011