Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Sijamaanisha anipe njia yaani waseme kama ni maswali ya general au full darasani ndio nilimaanisha
 
Wanahitajika watu 58 kabla hujaanza kujianda na aptitude hakiikisha kila kitu unacho kuanzia certificates zote ,Nida,tin nk hio siku kuna watu wataishia mlangoni maana kazi kama hzi slight mistake moja tu unaliwa kichwa
 
Back
Top Bottom