Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Kwenye intaview ya TRA kulikuwa na watu zaidi ya buku2 ila washkaj walitoboa na sasa wapo mamlakani.. Kikubwa ni kumtanguliza MUNGU na kujiandaa. MUNGU ATUSAIDIE
Tupo hapa mkuu mimi pia nilitoboa post ya tax mgt officer nikaingia oral now nipo kazini wito wangu kabla ya kwenda kwenye interview tujiandae kama tunaenda fanya necta coz ni maisha hayo tusifanye mzaa
 
True say aisee, naamin wahusika watajifunza toka kwako kama kweli wanahitaji matokeo chanya
 
Tupo hapa mkuu mimi pia nilitoboa post ya tax mgt officer nikaingia oral now nipo kazini wito wangu kabla ya kwenda kwenye interview tujiandae kama tunaenda fanya necta coz ni maisha hayo tusifanye mzaa
Hongera sana mkuu.. ila usisahau ulipotoka, washike mkono vijana wenzako kadri ya uwezavyo naye Mungu atakuongezea maradufu..
 
Kwa Hali ya sasa bado Tanzania Kuna watu zaidi ya elfu 1 wanakusanywa sehemu moja.? Wanashindwa kutuma hizo test online for screening at least wapate 15%?
 
Kimyaaaa, au ndio wakati wa kusikilizia email 😂😂 Bado wanasahihisha ijumaa ijayo tegemeeni email za Oral
 
Back
Top Bottom