Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,750
- 145,500
Aptitude test kama hizo mara nyingi nia si kuona umemaliza maswali yote, ila yale uliyomaliza ni mangapi na mangapi kati yayo umepatia.
Maswali kama haya yanatakiwa yasiwe deep sana, ila ni maswali basic yanahoweza kuchanganya kama kichwa ndogo.
Nishafanya moja kama hii mkaka ikiyopita nikipokuwa nataka kujiunga na organization moja ya UN, j gawa hawakuwa na maswali mengi hivyo.
bampami watu kutaka kuvanya kazi sehemi fulani ni jambo huru katika uchumi huria, pale zinazopambanishwa zinatakiwa kuwa skills tu, sasa kama una skills hutakiwi kuogopa wengine. Naelewa kwenye ajira ndogo hilo suala lina maana zaidi, lakini kanuni ya msingi ni kwamba wana uhuru wa kufanya hivyo na wewe una uhuru wa kupambana kwa unachoweza kuchangia.
Dunia inayokuja ni ya mapambano zaidi, hata ukipata kazi huko kazini utakutana na mapambano kati ya mtu na mtu, na wewe mgeninunaweza kuwa disadvantaged, kwa hiyo ukiogopa mapambano kabla ya kuanza hata ukifanikiwa kupata kazi utakuwa umegajikiwa lakini hujajiweka katika mindset ya kufanikiwa zaidi. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha uko marketable vizuri sana kuwashinda hao wanaotoka hizo sehemu nyingine.
Unaposema "our position", what do you mean by "our"? The position is vacant, that is why there is recruitment, how does the position become "our"?
Are you already working at NSSF and seeking advancement through this position?
Kuhusu mishahara, mtu anaweza kuacha kazi sehemu yenye mshahara mkubwa akaenda kwenye mshahara mdogo kwa kulingana na malengo yake. Wengine wanatafuta career path wanqona huko waliko hakuna growth, wengine wanaona kuko "too structured" if yoh catch my drift, wengine wanaona hakuna ulaji nje ya mishahara etc.

Last edited by a moderator: