Interview mpya ya Piers Morgan na Yousef Bassem yasifiwa kwa elimu kubwa juu ya mgogoro wa Palestine

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,700
51,838
interview ya kwanza kati ya mwandishi wa habari mashuhuri bwana Morgan na Bassem ilivunja rekodi katika viewership, kwa kuweza kuangaliwa na watu zaidi ya milion 10 ndani ya siku chache. Bwana Morgan anasema kuwa kamwe hajawahi kupata views nyingi namna hiyo.

Baada ya mafanikio hayo, Bwana Morgan akafanya part 2, yenye elimu nzito sana kuhusu mgogoro huo. Safari hii bwana Bassem hajatumia tena satire kutoa elimu, bali katumia wasaa huo kutoa somo kwelikweli. Unaweza kuiangalia interview hii hapa chini.

Kama kweli unataka kuulewa mgogoro wa Palestina na Waisrael, basi interview hii ni a must watch.

interview ya kwanza kati ya mwandishi wa habari mashuhuri bwana Morgan na Bassem ilivunja rekodi katika viewership, kwa kuweza kuangaliwa na watu zaidi ya milion 10 ndani ya siku chache. Bwana Morgan anasema kuwa kamwe hajawahi kupata views nyingi namna hiyo...
Hivi ni vita vya kidini dhidi ya waislam.
 
1698933411229.png
 
Hivi ni vita vya kidini dhidi ya waislam.
Akili umemuazima nani chief?nakushauri nenda zifate kazichukue maana siyo muda utachanganyikiwa.

Kwa hiyo ni kusema Hamas walianzisha vita dhidi ya uislam kwenye ardhi ya Israel sasa Israel anajibu ndiyo mmekuja kujua kumbe hii vita ni dhidi ya uislam?

Hahaha very funny!
 
Isreal wameikalia ardhi ya wapalestina. Hamas wanaipigania wairudishe. Hivi ni vita dhidi ya uislam na kila mtu duniani anajua
 
1698945764202.png

Hao wana Alamance ya +? Wewe kweli mwehu
 
Isreal wameikalia ardhi ya wapalestina. Hamas wanaipigania wairudishe. Hivi ni vita dhidi ya uislam na kila mtu duniani anajua
Tulia usitake kila mtu awaze unavyowaza wewe!!!

Hapo Palestine pana Wakristo 6% unadhani hawa hawajakaliwa kimabavu na Mzayuni?wao hawafi kwa makombora ya Mzayuni?mnapenda sana kujiona special hapo shida kweli ipo lakini haihusiani na hiyo dini yako tumieni vichwa vizuri.
 
Unaijua historia au unafata ushabiki wewe nyau?
 
Mimi naongea kwa fact matusi tukana wewe uliyekosa hekima ya mijadala unaongozwa na elimu mfu ya dini.

Nimekuuliza hao Wakristo huko Palestine hawafi? Google inasema wapo 6% je nao unawazungumziaje?
IMG_20231102_204157.jpg
 
Mimi naongea kwa fact matusi tukana wewe uliyekosa hekima ya mijadala unaongozwa na elimu mfu ya dini.

Nimekuuliza hao Wakristo huko Palestine hawafi? Google inasema wapo 6% je nao
Yahudi hana rafiki. Hata wewe mkiristo wa Michami unaejipendekeza atakumaliza
 
Isreal wameikalia ardhi ya wapalestina. Hamas wanaipigania wairudishe. Hivi ni vita dhidi ya uislam na kila mtu duniani anajua
Usifanye watu wote ni wajinga.
Basi acha wapigane wenyewe kwani wewe umechukuliwa ardhi yako?
 
Isreal wameikalia ardhi ya wapalestina. Hamas wanaipigania wairudishe. Hivi ni vita dhidi ya uislam na kila mtu duniani anajua
Bora ungekuwa mjinga ungejifunza ujinga ukaomdoka,lakini sasa umekuwa mpumbavu,hakuna namna! Juzi mlisema Israel imepiga hospitali ya wakristo Gaza, kumbe ilikuwa ni uongo?
Kumbe Hamas wana malengo ya kidini , ni sahihi wapigwe kwani hao wayahudi nao wanapigania dini yao.
Waislamu wa china husemi , Wakurdi husemi ni vya kidini, wale Rohingya husemi ni wa kidini. Shahara , Morocco inawaua na hata elimu wananyimwa hao siyo waislamu?
Nini kimejifucha nyuma ya wapalestina? Kundi la wauaji linapigwa na sasa limezingirwa Mazima. Wayahudi wameapa ama wao wafe waishe au Hamas wafe waishe ndani ya Gaza.
Israel ile ni ardhi yao, mfano: waislamu waliokimbilia Ulaya na maeneno memgine duniani ijapokuwa mamia ya miaka, siku wakirejea kwenye ardhi yao huko Syria, Iraq, Libya, Somalia, wewe utasema ni wavamizi! Mvamizi ni yule aliyekwenda kuikalia ardhi ya mtu aliyekimbia vita, kama ilivyo kwa wapalestina. Nina hakika kama wapalestina wangukuwa ni dini nyingine wangeishi vizuri na wayahudi, lakini kwa kuwa wengi wa wapalestina ni islam,na kwa kuwa waislamu mlianrishwa kwa chuki kwamba myahudi ni adui namba moja, na kuwa muwaue hata kama wamejificha chini ya mawe, hapo hakuna amani kamwe.
 
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)

TUNAOTA HIVI VITA VINAVYOTOA UHALISIA.
HUMU JF MKIRISTO ANAMUUNGA MKONO YAHUDI NA ANAWACHUKIA WAISLAM WA PALESTINA
 
Back
Top Bottom