Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Kumbe wanalipa vizur basi nipeni details maana hata mm nmetumiwa email kwamba nitapigiwa simu. Lakini siku zinaenda hawajatuma email tena ya kuniambia ni lini na wapi nitakapofanyia usaili?
 
Mkienda kwenye interview hakikisha ngeli yako uko vzurii. ..mtarudia online test ile ile. ..thn mtawekwa kwa groups m discuss and final individual intervw. .watakaofuzu watajoin training ya kama two weeks iv..baada ya apo mtaanza kusambazwa mkoani. .Mara .manyara. dodoma na vijiji vyote...kama we ni bishoo au sister duu hyo kazi haikufai coz wengi wenu mtapangiwa sales. ..na sales unasaka wateja vijijini wa solar
 
Duh!, kweli. Hii naona itakuwa sio saizi yangu. Mm nmezoea kutafuta wateja wa magari na matreka basi, hiyo Ngoja nitawaachia wenzangu wenye meno!
 
Mkienda kwenye interview hakikisha ngeli yako uko vzurii. ..mtarudia online test ile ile. ..thn mtawekwa kwa groups m discuss and final individual intervw. .watakaofuzu watajoin training ya kama two weeks iv..baada ya apo mtaanza kusambazwa mkoani. .Mara .manyara. dodoma na vijiji vyote...kama we ni bishoo au sister duu hyo kazi haikufai coz wengi wenu mtapangiwa sales. ..na sales unasaka wateja vijijini wa solar

mkuu kuna dogolasi anadai amepangiwa Mara tokea hapa Arusha,ila hawapewi hata kumi hivyo tumbebe!!...ni kweli ama anatukaanga?
 
na mi wmeniita arusha kwenye interview wanayo tarehe nane mwezi huu
 
Mm nilienda mpaka academy yao nikapita ila niliacha kwa sababu za kifamilia.mpower ni wazuri sana kwanza training yao utajifunza mengi sana hasa kuhusu maisha kwa ujumla.Unachotakiwa kufanya ni kujiamini,kujituma,kutumia vizur muda na participation bila kusahau ushirikiano wako na wengine pamoja na kumheshimu kila mmoja bila kujal cheo au sabab nyingine yoyote.Zaidi sana jibu maswal vizur na usiwe mkimya ila usimonopolize discusion sikiliza na wengine.All the best kwa wote mnaoenda kwenye interview
 
Tunaomba mtakao ingia leo mkitoka mtupe mrejesho hali ilikuaje kwenye usaili
 
Mnapiga test nyingine sio ileile si session yetu tulikuwa 16 wakala vichwa 6 kama BSS tukabaki 10 tukaendelea na group zen individual interviews
 
Nenda na pen na kikaratasi cha rough work ya hesabu maana hawatoi pale ull just be given a laptop u log in kwa email yako utapewa maelekezo afu mnaanza test
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom