Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,354
Wameniita kwa interview...nitarajie maswali gani wadau ?
wamekuita lini?
Wameniita kwa interview...nitarajie maswali gani wadau ?
wamekuita lini?
Even me Jana wameniambia wataniitaa kwenye interview coz online test nimefaulu.but hawa jamaa cjajua wanalipaje..msaada kwa yeyotee anayefaham tafazali
Mimi nilifanya online wamenitumia jana kwamba watanicontact kwa ajili ya interview ila email nmeacknowledge leo baada ya kuiona, nackilizia Eeh Mungu nisaidie maisha magumu kitaa
Na mm pia nimeitwa kwenye interview. My bro alifanyaga nao kidogo kaniambia malipo ni laki 6 kipind cha probation na ukiajiliwa salary inaongezeka
Possibility ya kuajiriwa hajasema ikoje uyo bro wako ?
Kwani wameishaita watu kwa ajili ya interview
Kwani wameishaita watu kwa ajili ya interview
haya guys angalieni emails zenu wameshatoa tareh n venue za interview, nackia ukichelewa kuselect unakuta zimejaa na ndo inaweza kua bas tena....tuendeleeni kupeana updates na miongozo ya interviews zinavyokua
Mmh mim hawajaniambia ivyo sasa sijui hapo na hutakiwi kuslot tena.... Wanaojua watujuze..
Reimah kuna sehemu nimeiona imeandikwa "slot me in ",nimekliki ikaniletea sehemu ya kujaza information zangu then imekubai ila naona majina ya watu wengine tu waliochagua hii slot,jina langu silioni na ile sehemu ya ku slot haionekani tena,,,je watakua washanikonsida ?
au inawezekana hiyo slot imejaa em jiridhishe mapema mkuu ujue unafanyaje naona hizo slot zinajaa kama maji na naskia slot moja ni watu ishirini,,,
au inawezekana hiyo slot imejaa em jiridhishe mapema mkuu ujue unafanyaje naona hizo slot zinajaa kama maji na naskia slot moja ni watu ishirini,,,