Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Kama huna kazi wala experience nakushauri nenda tu,mshahara wao unaridhisha kiasi..ila kama ni sharobaro nakushauri achana nao.
 
Si mlisema hapa kazi Tu sasa mbona mnachagua kazi nendeni mkapige kaz mshahara me nimeanza na laki tano na nusu tulisailiwa mwenz wa tisa
 
Ndugu wana jamvi,

Kuna hii kampuni inayojiita M-Power academy, tuli-apply kupitia online test na wameita watu kwenye interview trh. 24 Jan, binafsi siijui kiundani lakini wanasema wanashughulika na off grid electric (solar).

Kwa anaowaijua hii kampuni zaidi ya niijuavyo watusaidie, jinsi wanavyofanya biashara na jinsi wanavyoojiri au ajira yao ni ya commission? maana inavyoonekana hawajaanza leo kuita watu kwenye interview toka mwaka jana wasije kuwa mapatapeli .

Natanguliza shukrani.

Wadau natafuta walioitwa kwenye interview wiki hii arusha
 
Hii company naona inaua career ya mtu kwasababu haiwezekani hawataki kujua ww ni Nani either mwasibu. Engineer. Mwanasheria hao wanaajiri tu.na kukutrain ufanye kazi zao...madhara niliyoyaona unayoweza kupata ni.
1 hiyo kaz unapangiwa vijijini. .kwa hyo sahau kufanya interviews nyingne ambazo nyingi ni dar es salaam. ..nakumbuka tukiwa training walituambia haturuhusiwi kuhudhuria graduation tukishaajiriwa...
2.career yako Isahau kwa muda kwasababu kama ww ni mwasibu hutoweza kusoma cpa..assume umepangiwa Mara uko..au lawyer school of Law sahau

Ila la mwisho kama unashida ww nenda tu maana mshaara kwa mtu anayeenza sio mbaya ni mzuri kiasi chake
Kila la heri kwa mtakaofanya interview

Blazaa we kaa kitaa subiria kazi ya career yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom