Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Sasa iv kuna interviews zinaendelea batch ya 11 nadhani. ..nina maswal machache
1.tuko kama 300 kwa interview je training huwa wanachaguliwa wangp?
2.afta training wanaajiriwa wangap?
3.ukipata kaz unabak head office apo arusha au unapelekwa mkoani?
4.hawako interested na course uliyosoma je unaweza kuendeleza career yako kweli?
5.salary afta probation ni shs ngp?
6.tutumie techniques zipi kuweza kufuzu trainings hatimaye kuajiriwa?
 
natamani kujua hasa mjibu ya swali namba 4 na 5.
 
Hii mpower ni nini? mi nilizani mkopo wa voda kumbe ni nini?
 
Vipi mchakato wa kutuma maombi unakuaje maana ninahitaji iyo kazi pia naomba muongozo tafadhali
 
mi nilifanya test online wakaniita interview bt kutokana na ratba ya chuo nikashidwa hudhuria nikiaply tena wananambia tayari nifanye ili nami nikafanye hiyo interview
 
mi nilifanya test online wakaniita interview bt kutokana na ratba ya chuo nikashidwa hudhuria nikiaply tena wananambia tayari nifanye ili nami nikafanye hiyo interview

badilisha email.
 
Wapendwa kama ulifanya interview check your email tayar wameanza kujibu
 
Sijajua wanachukua wangapi me Jana ndo wamenitumia email na nilifanya interview jtatu wew ulifanya link?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom