Interpol yavamia jijini la Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Interpol yavamia jijini la Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katikomile, May 21, 2009.

 1. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kuna taarifa kwamba Interpol wapo jijini dar kukagua Vogue, range sport, Benz ML, BMw-X5 na magari mengine mengi ya wizi toka Magharibi. Inasemekana Magari hayo yamepungua sana mjini na dereva tax wametengeneza pesa sana hasa kwa walengwa wenye gari moja tu ambalo ndo hivyo tena. Ni tetesi tu, mwenye data zaidi atupatie.
   
 2. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Samahani ni jiji la dar si jijini la dar, typing error!
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  could be,mana kila kona jana na leo manjata wanaamuru watu wafungue boneti.
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Inawezekana maana tangu wiki jana kuna upekuzi wa magari sana barabarani. Ila nashangaa kuna magari wana ya spot maana mimi ninapita bila shida bila kusimamishwa na askari. Wakati wengine wenye magari sawa na model yangu naona wanasimamishwa.
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...issshhhh! ...hivi kuna njia nyingine za panya kuingia/kutoka city centre bila kupitia Ali Hassan Mwinyi Rd, Morogoro Rd, Nyerere Rd, au Sokoine Drv?
   
 6. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hata huku Arusha wamevamia leo, walitanda baadhi ya barabara na hata magari madogo madogo kama ESCUDO yalisimamishw ana kukaguliwana hata ya NGOs pia. Ulikuwa ni usumbufu wa aina yake lakini hakuna ubaya wowote, wakimaliza kukagua na kugundua kuwa gari lako lime-pass ukaguzi wao unapewa sticker ili kuepuka usumbufu mbele ya safari.
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Jamani Mbu Geographya ya Dar si unaijua vizuri??? Zipo barabara nyingi zinazounganisha main roads kama ulizotaja hapo juu, kwa mfano tu, Nyerere Road ina feeder roads kama vile inayounganisha pale mandela, chang'ombe, etc. The point is kila main road ina feeder roads nyingi tu!!!!! Tizama zote zinazo connect Ally Hassan Mwinyi, they are many!! So basi askari walikuwa main and feeder roads.
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hehehe msimu wa mavuno kwa mandata wa bongo huoooo!!!
   
Loading...