Internship and experience

The Buffalo

Member
Nov 27, 2020
24
33
Habarini wakuu, ninasoma DIT, Bachelor's degree in mechanical engineering, mwaka wa tatu. Sasa hivi tupo likizo, tumetumia karibu week 6 zimebaki week 3
Nilijaribu kuomba internship kwenye viwanda vingi pale Mikocheno industrial area, lakini nilikosa sababu ni kutokuwa tayari kwa viwanda kupokea vijana wa internship.

Naomba msaada, kwa next vacation (au kipindi cha masomo )viwanda vipi au kampuni hama taasisi zipi zinachikua vijana na kuwajengea uzoefu (intership). Suala la posho sio la lazima.

NB: any jobs or works zenye ufundi ndani yake iwe mechanics, civil, electrical, electronics tunakaribisha ili tuwe multipurposes.

Ishu ni kujizoeza ili wakati wa kutafuta ajira tuandae CV, zenye uzoefu halali ma sio wa kugushi.
Asante
 
Usiende kama internship wakati haujamaliza chuo. Nenda kama IPT.
 
Back
Top Bottom