sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Installation walikuchaji sh ngapi, kulikuwa na waya uaofanya kazi mtaani kwako au walileta mpya?Hata youtube na Netflix unastream 720p aka HD kwa hicho cha 25000
Waya ulikuwepo, installation ni 55,000 ila ukiongea nao wanaruhusu vifaa vyako.Installation walikuchaji sh ngapi, kulikuwa na waya uaofanya kazi mtaani kwako au walileta mpya ?
25 kwa mwezi si haba, ukipiga hesabu za 2000 kila siku kwa mwezi ni 60K upumbavu sana bora ulipie hio 25KInternet inazidi kuwa muhimu sana katika maisha ya ulimwengu wa sasa lakini kwetu hapa nchini mambo yamekuwa ni tofauti. bei za internet zimepandishwa sana hali inayopelekea watu wajibane sana kwenye matumizi ya inyernet, mfano GB 1 pekee kwa sasa ni elf 2 ambayo kwa mwananchi wa hali ya kawaida hii ni gharama kubwa sana, Hali hii imetulazimu tuanze kufatilia mibadala ya uhakika yenye gharama nafuu, nami nimeamua kuleta mbinu ya uhakika ya ku enjoy internet unlimited kwa elf 25 tu ya mwezi.
Kuna habari za hapa na pale kwamba fibre inakuja lakini haya mambo ya serikali nadhani wengi sio wageni, faiba hii ajenda ni ya miaka karibia mitano lakini hadi leo ni dana dana na maneno mengi huku vitendo haviridhishi, Tunaomba hili jambo la fibre liende sawa lakini kama mjuavyo jaya mambo unaweza kuta pesa za fibre vigogo wanazitandika, wanaweza kuona faiba itapoteza kodi za wananchi wanaonunua vifurushi, n.k lolote laweza tokea
Kwa sasa uhakika ni internet ya adsl ambayo miundo mbinu yake imesambaa hata mikoani, Kama upo eneo lina mstimu wa ttcl zile nyaya nyembamba zilizokuwa zinatumika kwenye simu za mezani basi hapo ayari una internet, cable zile ukichana na kutumika kwenye simu za mezani huwa zinatumika pia kwenye internet.
UTacotakiwa kufanya ni kwenda ttcl , nashauri sana sana ufanye jitihada ukutane na wahandisi / engineers maana pale mapokezi wengi wao mambo haya yanawapiga chenga sana na hili nimeshahakikisha mara kadhaa,
baada ya hapo muende na muhandisi eneo ulilopo, kama miundombinu haijaharibika basi utanunua tu router kwa elf 55, baada ya hapo wanaku connect na kale kawaya nyumbani ama ghetto kwako unapata internet kwa wifi kutoka kwenye router .
Speed ni nusu MB hivi, ndani ya dakika waweza kushusha MB 3O na ndani ya saa GB 1.8. unavyoenda kulala unaweza kushusha hata mzigo wa GB 10. Ni speed nzuri wala si haba kustream youtube, netflix, n.k kama unahitaji spidi maradufu ya hapo inabifdi ulipie elf 50,
Vifaa vyako vina feutures zipi za ziada ukiachana na vile vya TTCL?Waya ulikuwepo, installation ni 55,000 ila ukiongea nao wanaruhusu vifaa vyako.
Adsl ni za kizamani sana kifaa chochote cha sasa kina speed kubwa sana kushinda adsl hivyo router yoyote utakayotumia ni sawa unless upigwe router ya kizamani sana, ila kuwa safe tumia vya TTCL. Mimi wakati naweka Vifaa vya TTCL vilikuwa vimeisha, sikutaka kusubiri nikanunua vyangu mwenyewe, mpaka 5000 unapata router ya adsl mtumba wale wanaomwaga barabarani.Vifaa vyako vina feutures szipi za ziada ukiachana na vile vya ttcl?
Ilichukua masaa mangapi kwa installation ?
Ni kweli kabisa, mwezi ujao nitafunga hii kitu, nmechelewa sana, nilikuwa nadhani ni zile nyaya nene ndizo zenye internet ambazo zipo mjini ndizo pekee zenye internet kumbe ni hutu tunyaya twa kwenye simu, wacha nivunje kibubu nigharamike kuiweka, mwenzangu nilipita kwake jioni hii kuna jirani kaweka ana enjoy hana habari na vifurushi.25 kwa mwezi si haba, ukipiga hesabu za 2000 kila siku kwa mwezi ni 60K upumbavu sana bora ulipie hio 25K
Mkuu net ikoje haikati kati?Adsl ni za kizamani sana kifaa chochote cha sasa kina speed kubwa sana kushinda adsl hivyo router yoyote utakayotumia ni sawa unless upigwe router ya kizamani sana, ila kuwa safe tumia vya TTCL. Mimi wakati naweka Vifaa vya TTCL vilikuwa vimeisha, sikutaka kusubiri nikanunua vyangu mwenyewe, mpaka 5000 unapata router ya adsl mtumba wale wanaomwaga barabarani.
Haichukui muda ni hapo hapo tu wakikuwekea setting zao.
Kama inastream hata 720p iko poa hio gharama nafuuInternet inazidi kuwa muhimu sana katika maisha ya ulimwengu wa sasa lakini kwetu hapa nchini mambo yamekuwa ni tofauti. bei za internet zimepandishwa sana hali inayopelekea watu wajibane sana kwenye matumizi ya inyernet, mfano GB 1 pekee kwa sasa ni elf 2 ambayo kwa mwananchi wa hali ya kawaida hii ni gharama kubwa sana, Hali hii imetulazimu tuanze kufatilia mibadala ya uhakika yenye gharama nafuu, nami nimeamua kuleta mbinu ya uhakika ya ku enjoy internet unlimited kwa elf 25 tu ya mwezi.
Kuna habari za hapa na pale kwamba fibre inakuja lakini haya mambo ya serikali nadhani wengi sio wageni, faiba hii ajenda ni ya miaka karibia mitano lakini hadi leo ni dana dana na maneno mengi huku vitendo haviridhishi, Tunaomba hili jambo la fibre liende sawa lakini kama mjuavyo jaya mambo unaweza kuta pesa za fibre vigogo wanazitandika, wanaweza kuona faiba itapoteza kodi za wananchi wanaonunua vifurushi, n.k lolote laweza tokea
Kwa sasa uhakika ni internet ya adsl ambayo miundo mbinu yake imesambaa hata mikoani, Kama upo eneo lina mstimu wa ttcl zile nyaya nyembamba zilizokuwa zinatumika kwenye simu za mezani basi hapo ayari una internet, cable zile ukichana na kutumika kwenye simu za mezani huwa zinatumika pia kwenye internet.
UTacotakiwa kufanya ni kwenda ttcl , nashauri sana sana ufanye jitihada ukutane na wahandisi / engineers maana pale mapokezi wengi wao mambo haya yanawapiga chenga sana na hili nimeshahakikisha mara kadhaa,
baada ya hapo muende na muhandisi eneo ulilopo, kama miundombinu haijaharibika basi utanunua tu router kwa elf 55, baada ya hapo wanaku connect na kale kawaya nyumbani ama ghetto kwako unapata internet kwa wifi kutoka kwenye router .
Speed ni nusu MB hivi, ndani ya dakika waweza kushusha MB 3O na ndani ya saa GB 1.8. unavyoenda kulala unaweza kushusha hata mzigo wa GB 10. Ni speed nzuri wala si haba kustream youtube, netflix, n.k kama unahitaji spidi maradufu ya hapo inabifdi ulipie elf 50
Kama mara mbili imewahi kata karibia siku nzima toka niweke zaidi ya miezi 4, sema adsl ni analog ina tabia umelala umeamka inakuwa slow inabidi uzime na kuwasha tena router, hiyo kazi ya kuzima na kuwasha tegemea uifanye kila baada ya siku ama siku 2.Mkuu net ikoje haikati kati?
Huwa wanarushiana mpira "...unasikia, wewe msaidie mteja, wewe si ndiyo ulikwenda China kusoma!! Haya mteja huyo hapo mpe huduma"Utachotakiwa kufanya ni kwenda ttcl , nashauri sana sana ufanye jitihada ukutane na wahandisi / engineers maana pale mapokezi wengi wao mambo haya yanawapiga chenga utaishia kukata tamaa.
Vocha za TTCL mtihani Sana kupata25 kwa mwezi si haba, ukipiga hesabu za 2000 kila siku kwa mwezi ni 60K upumbavu sana bora ulipie hio 25K
Havina maana yoyote mkuuIla naona TTCL bado wana fikira za kizee sna. Hadi uwe karibu na nguzo za waya!! Hayo mawaya na miguzo yanachafua miji. Why wasi tumie Vile vidude vya WIFI kama vya Tigo na Airtel. Vina connect hadi watu 10.
Chief-Mkwawa nisaidie picha ya adsl yako ya ttcl niiweke kwenye post
Miaka hii bado tunakwangua vocha tu, wakati kwa case yako unaweza kutransfer kutoka e.g. airtel money/mpesa kwenda ttcl salio tena bila makato!Vocha za ttcl mtihani Sana kupata