Internet kwa bei nafuu..

Internet kwa bei nafuu..

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
habari wakuu,mimi mda mwingi natumia internet kutokana na kazi zangu ,so nilikuwa naomba kama kna njia nyingne ya kunisaidia atleast na mimi nipate cheapest way ya kununua internet coz kwa siku natumia hadi 2000
 
Jamani wanye uelewa mje hapa mtuaaidir manake hata mimi natumia sana internet ila nimechoka na hawa tigo ni wezi kupitiliza niliunga kifurushi cha mwezi cha elfu 30 ambacho wao wanasema ni internet unlimited kuperuzi na Gb 3 ya kudownload lakini cha ajabu niliitumia kwa ck 3 ikaisha na sikudownload chochote nimewapigia customer care kila mhudumu anakupa jibu lake.
 
Vodacom wana unlimited volume plan tsh 40,000 /month

Hiyo ni rahisi kuliko 2000 /day unayolipa sasa, the best thing ni kuwa unatumia mwezi mzima na unadownload kiasi chochote

So far kwenye mobile networks hakuna plan nyingine rahisi zaidi ya hiyo

Last edited by a moderator:
Vodacom wana unlimited volume plan tsh 40,000 /month

Hiyo ni rahisi kuliko 2000 /day unayolipa sasa, the best thing ni kuwa unatumia mwezi mzima na unadownload kiasi chochote

So far kwenye mobile networks hakuna plan nyingine rahisi zaidi ya hiyo

sio kweli kama ni truly unlimited download. unapewa GB chache tu za kudownload ambazo hazifiki 10. zikiisha utaruhusiwa ku browse tu
 
kabang ya wiki 3500
DrjRkPG.jpg

kabang ya mwezi haina speed kama hii ya wiki, ya siku pia haina speed kama hii.
 
habari wakuu,mimi mda mwingi natumia internet kutokana na kazi zangu ,so nilikuwa naomba kama kna njia nyingne ya kunisaidia atleast na mimi nipate cheapest way ya kununua internet coz kwa siku natumia hadi 2000

Mkuu Wajanja Night ni 1GB pia ni siku nzima kwa sasa hivyo usiwe na shaka kabisa. Nina mwezi mmoja najiunga hii na ni siku nzima kwa sasa.
 
sio kweli kama ni truly unlimited download. unapewa GB chache tu za kudownload ambazo hazifiki 10. zikiisha utaruhusiwa ku browse tu

Wana control speed, unapata top speed mwanzo, ukimaliza 3GB speed inashuka hadi kama 35KB/s lakini still unaweza download torrents au chochote

Mimi natumia hiyo tangu walipo block vpn clients, na hivyo ndivyo inavyofanya kazi
 
Mbona kama wadownload porn hapo,?

duh kwa afya ni hatari mb zote hizoooo.

hizo ni epiaode ukiangalia range ya mb ni around 200. na hio software inaonesha average speed ina maana napata speed 200 hadi 250
 
Hizi bando za tigo na voda mizinguo tu, bora wi fi, ina speed na haina limit, tatizo ziko chache mpaka maofisini
 
Nimekusoma Comrade !!
Baada ya hizo 700Mb speed inashuka hadi kwenye ngapi?

hio nilioeka screenshot ndio speed imeshashuka sababu ukiangalia kuna episode kama 9 ambazo ni zaidi ya gb inamaana nimeshamaliza mb zangu 700 ila speed bado ni nzuri.
 
Hizi bando za tigo na voda mizinguo tu, bora wi fi, ina speed na haina limit, tatizo ziko chache mpaka maofisini

Wi-fi bei mbaya mwanangu, zile public wi-fi za chuo mahotel etc hazina speed ki hivyo pia haziko safe
 
Back
Top Bottom