Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,924
- 4,028
Wi-fi bei mbaya mwanangu, zile public wi-fi za chuo mahotel etc hazina speed ki hivyo pia haziko safe
Labda zinatofautiana mkuu, kuna moja hapa chuoni ina nguvu sana mpaka 1.6 mb/s ingawa kuna siku unakuta iko slow sana.