Tetesi: Internet kuzimwa kwa siku 12

Tetesi: Internet kuzimwa kwa siku 12

Kuna tetesi huduma ya internet itazimwa kuanzia 29 Nov to 10 December.
Wazime hata mwaka mzima ,wapuuzi sana ,ujinga ujinga tu mwingi ,wanasababisha tu hasara kwa watu ,bila kuwasikiliza wananchi ni kazi bure! Hauwezi kuwanyamazisha wananchi kwa kuwazimia internet! kufanya hivyo ndivyo wanazidi kuwakimbiza watalii na wawekezaji.
 
Kuna tetesi huduma ya internet itazimwa kuanzia 29 Nov to 10 December.
Wameanzisha mifumo kibao kuanzia kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, wazime ila wajue sio tu wananchi watapata madhara makubwa bali pia undendeshaji wa shughuli nyingi katika taasisi mbali mbali zitakwama, matokeo watayaona tu , hii nchi inaenda kucollapse.

Internet kwa sasa sio anasa kwa dunia ya leo
 
Back
Top Bottom