Tetesi: Internet kuzimwa kwa siku 12

Tetesi: Internet kuzimwa kwa siku 12

hivi afrika swala la mtu kujiuzuru mbona huwa ni gumu sana?

wapo radhi nyote mfe ila mtu asijiuzuru
Maagano ya kiroho huwa yanawatesa. Kama samia unakuta ashakula kiapo na majini ambayo yanataka Damu ndio maana huwa hawaoni shida kuua hovyo raia wasio na hatia.
 
Wakikata umeme Kwa hizo siku sawa raia tungeteseka, hayo mengine now tunaishi Kwa liwalo na liwe🙌
Hakuna afadhali mkuu.
Wakikata umeme tunaweza kusema labda Kwa kiasi Fulani watu wako na Sola Panels, Jenereta n.k
Wakikata intaneti mbadala wake nchini haupo labda watu wa mipakani.
Ila Kwa ujumla hakuna kitu chenye afadhali
 
hivi afrika swala la mtu kujiuzuru mbona huwa ni gumu sana?

wapo radhi nyote mfe ila mtu asijiuzuru
Africa uongozi sio kuwahudumia watu bali ni miradi ya kupiga pesa. Je wewe unaweza kuachia mradi wako wa kupiga pesa kurahisi tu?
 
Kuna tetesi huduma ya internet itazimwa kuanzia 29 Nov to 10 December.
Walizima kwa siku 5 wakaua wato 23,000 sasa bila shaka safari hii wamepanga kuua watu 50,000. Kama vipi wazima milele tu tuishi zama za giza ila tu wajue kisasi kiko pale pale.
 
rai yangu ni kama kuna hitilafu inayoweza kujitokeza hivyo huduma za kimtandao kuadhirika ...hitilafu hiyo isiusishwe na maswala ya kisiasa

kazi na utu tunasonga mbele
 
Hakuna afadhali mkuu.
Wakikata umeme tunaweza kusema labda Kwa kiasi Fulani watu wako na Sola Panels, Jenereta n.k
Wakikata intaneti mbadala wake nchini haupo labda watu wa mipakani.
Ila Kwa ujumla hakuna kitu chenye afadhali
Kipato changu kwa asilimia 90 kinategemea stable internet
 
Back
Top Bottom