Shida ya hiyo ya voda ni speed imekuwa limited.kaka Pole sana, nimesoma POST zote hakuna iliyokuelekeza kutumia VODAfone modem, modem ya voda ni nzuri kwa elf 30 per month una access kila siku, kila wakati na ku download kila-unachokitaka. Ni nzuri sana. Jaribu hiyoitakufaa
Hiyo red sasa inaitwa airtel na unaenda sehemu ya meseji unaandika neno internet una tuma kwenda 15444 utapata 400 MB kwa mwezi mmojaMzee Pausll umezulumu nafsi muda mrefu sana chukua modem ya Zain ni bomba mno 400MB ni TZS 2,500/= validit time one month ila unaweza kununua bundle nyingine ikiwa imeisha muda wowote, sio kama Zantel wakabaji!
Wireless hakuna,ila mm nimeandika tu coz kuna jamaa nilickia akisema uwezekano huo upo,wanaweza kuchakachua line na uka2mia internet bure.
Samahan wakubwa kama nimewakera.
wakubwa habari za kazi,
wakubwa internet inamaliza mkwanja wngu,hakuna njia ambayo mtu unaweza kupata line ambazo zimechakachuliwa jamani?
Mimi natumia ya airtel na natumia simu yangu kama moderm wakubwa naliwa hela mpaka muda mwingine nashndwa hata kushare nanyi ma softwire,jaman msaada unahtajika kwa yeyote mwenye maujanja.