Internet for free

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wakubwa habari za kazi,
wakubwa internet inamaliza mkwanja wngu,hakuna njia ambayo mtu unaweza kupata line ambazo zimechakachuliwa jamani?
Mimi natumia ya airtel na natumia simu yangu kama moderm wakubwa naliwa hela mpaka muda mwingine nashndwa hata kushare nanyi ma softwire,jaman msaada unahtajika kwa yeyote mwenye maujanja.
 
Tunapinga uchakachuaji hapa Tanzania ili isiwe tabia saasa tukiundeleza itakua balaa kwa vizazi vyetu
 
Kaka mitandao yenyewe ina2chakachua sasa unataka na cc 2fanyeje mkubwa.
 
wewe unatumia utaratibu upi wa kuweka hela na kutumia au wa kununua vifurushi (bundle)? maana ukitumia vifurushi kidogo ni nafuu
 
Nanunua vifurushi,hasa cha airtel kila mwezi.
 
Wakubwa habari za kazi,
wakubwa internet inamaliza mkwanja wngu,hakuna njia ambayo mtu unaweza kupata line ambazo zimechakachuliwa jamani?
Mimi natumia ya airtel na natumia simu yangu kama moderm wakubwa naliwa hela mpaka muda mwingine nashndwa hata kushare nanyi ma softwire,jaman msaada unahtajika kwa yeyote mwenye maujanja.
Hii INJI wawekezaji ni wachakachuaji tu, mpaka lini watu watanunua internet kama mafuta ya taa kwa vipimo?
 
yani ss tunaona kunakaunafuu baada ya kutoa bandle tofauti ww bado ujaona nafuuu ata kidogo kweli fisadi ni fisadi tu
 
Wakubwa habari za kazi,
wakubwa internet inamaliza mkwanja wngu,hakuna njia ambayo mtu unaweza kupata line ambazo zimechakachuliwa jamani?
Mimi natumia ya airtel na natumia simu yangu kama moderm wakubwa naliwa hela mpaka muda mwingine nashndwa hata kushare nanyi ma softwire,jaman msaada unahtajika kwa yeyote mwenye maujanja.

Je unaweza ku quantify hizo hela unazotumia kwa siku au kwa wiki. ni shilingi ngapi?

Unajua binadamu wote si sawa weigine tunaweza kuona 20,000 kwa wiki ni nyingi wakati kwa wengine ni kiasi ch kawaida tu.

Vile vile labda umeweka mambo ya kuupdate automatic so hata unapokuwa hutumii internet inakula kwa kucheck na kufanya update ya OS na software mbali mbali. So tatizo hapa laweza kuwa ni configuration na na set up ya modem na application zako.
 
Kwani hapo ulipo hauwezi kupata Wireless connection?
 
Wireless hakuna,ila mm nimeandika tu coz kuna jamaa nilickia akisema uwezekano huo upo,wanaweza kuchakachua line na uka2mia internet bure.
Samahan wakubwa kama nimewakera.
 
net zinachakachuliwa kwa kwnda mbele!! Hasa zantel...bro kuna m2 alimchakachulia kwa elf 60!! Internet bureee!
 
net zinachakachuliwa kwa kwnda mbele!! Hasa zantel...bro kuna m2 alimchakachulia kwa elf 60!! Internet bureee!wenyewe huku mwanza wanaita kubutua! Teh teh!
 
Duh kwel kubutua,kwhyo inakuwa unlimited download?
Sasa huyo jamaa nitampataje au kama vp ni pm then 2ongee buznez.
 
Je unaweza ku quantify hizo hela unazotumia kwa siku au kwa wiki. ni shilingi ngapi?

Unajua binadamu wote si sawa weigine tunaweza kuona 20,000 kwa wiki ni nyingi wakati kwa wengine ni kiasi ch kawaida tu.

Vile vile labda umeweka mambo ya kuupdate automatic so hata unapokuwa hutumii internet inakula kwa kucheck na kufanya update ya OS na software mbali mbali. So tatizo hapa laweza kuwa ni configuration na na set up ya modem na application zako.

Mkuu hapa nifafanulie kidogo namna ya kupiga stop hizi automatic update natumia win7 ultimate,
Pili kwamuda mrefu sasa natumia sasatel nataka niwapige chini, je ni provider gani atanifaa kwa bajeti ya sh elf30 kwa mwezi itakayo niwezesha kubrowse net kwa matumizi ya kawaida ambayo si download software, move, game, labda picha, youtube kidogo na mp3 kidogo.
Mkuu natumai sijapora thread yako itasaidia kujua unafuu pia
 
Mzee Pausll umezulumu nafsi muda mrefu sana chukua modem ya Zain ni bomba mno 400MB ni TZS 2,500/= validit time one month ila unaweza kununua bundle nyingine ikiwa imeisha muda wowote, sio kama Zantel wakabaji!
 
Mkuu hapa nifafanulie kidogo namna ya kupiga stop hizi automatic update natumia win7 ultimate,
Pili kwamuda mrefu sasa natumia sasatel nataka niwapige chini, je ni provider gani atanifaa kwa bajeti ya sh elf30 kwa mwezi itakayo niwezesha kubrowse net kwa matumizi ya kawaida ambayo si download software, move, game, labda picha, youtube kidogo na mp3 kidogo.
Mkuu natumai sijapora thread yako itasaidia kujua unafuu pia
Windows7 Ultimate: kulia chini kwenye corner kuna "flag" kibendera, click hiyo itafunguka utaona Change Windows Update settings; click hiyo, window ingine itafunguka nenda "let me choose" ingia hapo->important updates, shusha/fungua ulimi-> Never check for updates(not recommended) then click OK and its done.
Note: Updates zingine ni muhimu for security reasons na pia katika kurekebisha kasoro katika computer yako kwa hiyo ushauri wangu kila baada ya muda ni vyema ku-update computer yako.
 
mkuu nimeiona na nimeipiga stop hata hivyo nitakuwa naifungulia nikienda cafe au nitaweka maalumu kwa updates angalau kwa wiki mara moja.

Mkuu kibirizi nimekupata vizuri nitawafatilia air tel kwa ukaribu zaidi
 
........
Note: Updates zingine ni muhimu for security reasons na pia katika kurekebisha kasoro katika computer yako kwa hiyo ushauri wangu kila baada ya muda ni vyema ku-update computer yako.
[/FONT][/SIZE]

Yap kamanda uko sahiihi kabisa cha muhimu ni user ajipe control ya ku initialise download manualy badala ya download na update kufanyika automaticaly.

Na kwa wale wenye Widnw 7 za kuchakachua teh teh teh. Sometime microsoft wanatuma update wanaita ni ni critical security update kumbe inachech kama OS yako ni ya kuchakachua. ghafla unajikuta unaaza kupata warning na alert unashangaa zimetoka wapi wakati mambo yalikuwa safi.

Sio mbaya sana kuistall manually update two weeks baada ya kutoka.

Zaidi ya OS pia kuna watu hawajui setting za za application ziko set vipi mfano

  • Java client
  • flash player
  • Office ( openoffice r microsoft office)
  • Browser ( firefox. IE. chrome, etc)
  • etc
HIzi zote na nyingine nyingi wakati wa kuistall mara nyingi default setting ni applicatin kufanya automatic update
 
Back
Top Bottom