nimekuliza swali moja tu...nani alikuambia tunapima Intelligence kwa standard perfomance ya darasani...?? tatizo nimgundua kitu hujaelewa thr difference between the two..
Utofauti kati ya watoto wa shule nzuiri ni watoto wa shule za kawaida ni knowlege to aquire the addition ...
ukitaka twende sawa kubali kuwa intelligence na knowlege kuwa ni vitu viwili ambayo ni tofauti kabsaa..na kimoja hapo ndo kinapima kingine hapo ..
ukiulizwa leo kuwa IQ za kina Isaac Newton na kina Tesla sijui kina Da vinci zilipatikanaje utasema zilipatikana kwa kuchukua standard score za darasani....?? utachekwa sana na wataaalamu wa IQ standard test na hakuna kitu kama hicho duniani..narudia tena binafsi sijawahi kuona mfumo huo..
usichanganye tafadhari,ukiukizwa kuwa mageniuz wa dunia waliopita walipimwaje darasani halafu uje useme kuwa walipimwa kwa kiwango cha ufaulu darasani?? wakati tunaona kuna kina Michael Faraday walikomea njiani kabisa lakini IQ zao zinatajwa kuwa juu sana ,utasemaje kuhusu hilo pia..??
hapa ni lazima ujue kuwa Score ya darasani sio kipimo cha IQ test..
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewesasa mkuu unapinga kuwa hili swala halipo....?
hivi umekalili njia ngapi za reproduction..??
kuna Asexual reproduction( Ambayo inahitaji cell husika moja tu) lakini pia kuna Sexual reproduction ambayo inahusisha two forms of cell kugenerate new cell au organism mwingine..refer hata biology ya o level ambayo kila mtu anafahamu au wew hukupiata hata hiyo. ? 🙂 🙂
Sasa kwenye human cloning kuna njia moja tunaita somatic cell transfer cloning ambapo hatuhitaji cell zinazohusika na reprodution ambazo ni kama sperm au ovum,..hapa tunahitaji somatic cell tu( cell inahusika na kitu au utengenezaji wa mwili tu na haihusiki na uzazi) kupitia hii cell ndipo mtu anapatikana..
Ndo mana ukisoma vizuri mwanzoni nilizungumza kuwa hawa jamaaa wanahitaji cell ya eneo lolote katika mwili wa binadamu na sio mbegu tu...hebu kagusie kwanza hata type za reproduction ambazo ni hata mtoto wa form 4 anafundishwa halafu ukimaliza ndo ule shule nzima ya how cloning inavyotokea..
Halafu unasahau kuwa mesenchyma differentiation ni gene guided process sasa kama jamaaa wanaifahamu gene inayoamuru hiyo differentiation watashindwaje sasa kumonitor process nzima..???
halafu ukiona process imeandikwa unknow au sijui its mechanism is unknown ujue inatumika kutoa product za kufa mtu ,naomba nikupe tu ukweli huo...
Hata haya magonjwa ambayo unakuta wanakwambia they have unknown origin jua kuwa hawataki kuweka wazi wenye ulimwengu huu...
Unataka waweke wazi ili iweje...? nchi za ulaya zitaendeshaje uchumi wake wakati product unazotumia zinatokana na hizo unknown scientifical results...!!
habar za mchana rebekaKuscore different kwenye IQ scale Kwangju ni Prove tosha Kuwa mazingira yanachangia sababu without environment tusingekuwa na small variability kwenye IQ scale,TUNGEKUA NA ONLY TWO differences;those who score high na those who scores low...kuna kitu nataka kuongea ila nashindwa...hope mmeelewa lol
habar za mchana rebeka
Hivi naweza kuwa rafiki yako
Hivi dadaMmnhhhh mkuu nimekuvulia kofia lol intelligence inakuwa modified through instructions! That is to say through environment!,....website uliyoitoa pale juu imezungumzia Kuwa the more stimulating the environment the more unawajenga intelligent children....Huko shule za Kata kufaulu ni mmoja mmoja ukifuatilia sana ni juhudi binafsi za mtoto mwenyewe na sio Shule!...km unaona ni uongo chukua watoto 50 wa Feza waende kufanya standard test za shule za kata,halafu uchukue tena watoto 50 wa shule za kata upeleke wakafanye tena standard tests za shule ya Feza..halafu ufanye performance comparison between these two cohorts......
Lastly ingawa hakuna knowledge test but I believe IQ na knowledge vinaenda pamoja... huwezi kuwa na Akili Kama huna ability to acquire knowledge...that sounds strange to me lol
Nashukur mkuu daahKaribu Baba Swalehe..
Shida inakuja pale ambapo tunabishana kuhusu Intelligence ila bila kujua parameters zinazotumika kuasses hiyo kitu..Hahaaaa mkuu naona umelishikia Bango Hilo la knowledge...? Nilikua namaanisha standard tests haziko kwenye IQ scores yes but huoni ni strange kusema huyu mtu ana akili halafu ukimfundisha baada ya Miezi sita unampa mtihani anafeli?!..On another hand je akifaulu hizo standard tests huoni kuwa ni demonstaration kuwa ana akili/high IQ’s score na pia it shows ameacquire knowledge?!!...sasa utasemaje hivi vitu haviendi pamoja.....???
Hao watu uliowataja naona unaikomalia hii ishu ya knowledge,,,kaaa kwenye mstari tafadhali..... mtu mwenye high IQ scores na mtu mwenye low scores wote wana equal chance za kufaulu vizuri tuu darasani..the difference is yule bright atasoma effortless ila yule sio bright ataweka msuli Ila in the end wote watafaulu ....ndio maana ukiwa unasoma ukafeli unaambiwa’’ kaza buti’’ meaning shule sio kwa intelligent people only
hongera mkuu,nishajaribu kuelewesha zaidi kuwa Intelligence inabeaffected na Genetic zaidi lakini knowlege is more affected by enveronmental factors...Life code na Rebecca nimefatilia mjadala wenu kwa muda mrefu na nimejifunza lkn kuna jambo nimegundua
Life code amebase ktk kuelezea intelligence lkn Rebbeca amebase kuelezea knowledge lkn kiuhalisia hivyo ni vitu viwili tofauti
Intelligence inaarithiwa kiasi kikubwa na Genetic kuliko environment na knowledge inaarithiwa na kiasi kikubwa na environment kuliko intelligence
Ht ukiangalia duniani inaaminika kwa sasa hv watu wenye IQ kubwa ni Japan korea au Google utaona
Knowledge inaathiriwa na environment kwa kiasi kikubwa mfano the early Greek walionekana km watu wenye uelewa mkubwa
The early greek ndiio wamefanya civilization ya ulaya kwa heshima Yao bara la ulaya likaitwa Europe mungu wa kigiriki Europa na sayansi karibu yote inatumia greek words kwa kuwaenzi mchango wao
Zamani wagiriki walionekana km watu wenye akili sana lkn ukiangalia walikuwa na knowledge kubwa kutokana na mazingira leo hii wamerudi nyuma
hongera mkuu,nishajaribu kuelewesha zaidi kuwa Intelligence inabeaffected na Genetic zaidi lakini knowlege is more affected by enveronmental factors...
lakini naona sijui inakuwa ngumu kutofautisha hizo terms mbili...
nimeweka mfano wa nchi ya singapore ambayo imeshafuta mambo ya mitihani mashuleni huko lakini ndo nchi ambayo inashikilia record kwa kuwa na IQ kubwa zaidi kwa watu wake ..
yani watu hawasomi kwa kushindana kama huku.
sasa IQ wanaipata kwa kuchukua marks zipi ikiwa Hakuna mitihani wanayofanya wanafunzi...??
Watu wanachanganya Kati ya intelligence na knowledge
Knowledge ni kitu ambacho unaweza kukipata muda wowote na si intelligence
Einstein anasema imagination is more important than knowledge anajua knowledge ina limit yake
Sasa watu wakiona mtu ana knowledge kubwa wanajua pia ana intelligence kubwa
Lakini genetic zinaathiri sana intelligence
Shida inakuja pale ambapo tunabishana kuhusu Intelligence ila bila kujua parameters zinazotumika kuasses hiyo kitu..
Thus why score average yake inaitwa Intelligence Quotient( IQ) na haikuitwa Knowledge Quotient,meaning kwamba tunapima Inborn ability ya jinsi gani mtu anaweza solve matatizo na mafumbo katika maisha yanayomzunguka..
Kama tungetumia kigezo cha kufaulu darasani basi leo hii tungesema watoto wanaosoma shule zaa pesa ndefu wangekuwa na IQ kubwa kuliko wengine lakini jibu lake ni vice versa...
IQ inapimwa kwa watu wote bila kuangalia elimu zao...
ndo maana hata leo ukiulizwa ni nchi gani duniani inayoongoza kwa watu wake kuwa na IQ kubwa sio Nchi kama Wingereza au Marekani kama watu wanavyodhani ila ni nchi zenye watu wengine kabisa wala siyo Israel au Ugerumani kama watu wanavyofikilia...
Nchi kama singapore zimeshafikia maamuzi ya kutoa mfumo wa kuwafanyisha watu mitihani mashuleni huko ,manake watu wahafanyi tena mitihani wanapokuwa wanasoma ,sasa hapo utaniambia IQ wanapima kwa standard score za darasani...??
lakini kwani ni ndo nchi inayoongoza kwa watu wake kuwa na IQ KUBWA ZAIDI ..
wew umebase na elimu ya darasani kama kitu pekeee cha kunote IQ ya mtu...sio hivyo...
ndo mana unakuta familia ambayo watoto wake wamesoma wamefika mpaka vyuo vikuu lakini wazazi wao hawakwenda shule hata darasa la kwanza hawakuliona lakini tunasema wazazi hao wana IQ kubwa kwa sababu wanachakata bongo zao kuhakikisha watoto wao wanapata maisha mazuri ikiwemo elimu pamoja na mahitaji mengine .
Sasa nashangaaa sana idadi ya watu wamejikita na kusoma shulr nzuri na kupata score ya marks nzuri ndo unasema watoto wana IQ kubwa...!??
Ukitaka kutofautisha the two terms kasome namna ya kupata au parameters zipi zinatumika kuasses IQ score ya mtu ...
mtaani kuna watu hawakwenda shule ila maisha wanayapeleka kwa akili kubwa sana kuwazidi hata waliosoma na hao ndo tunawaita kuwa ni big headed kama sio kuna wa uwezo mkubwa wa kuchakata maisha na ukiwapima IQ wanascore na kuwa kwenye highest IQ spectrum range kuzidi hao unaowatetea...
sasa kama Singaore imeshafuta kuwapa watoto mitihani mashuleni huko kwanini inashikilia record ya dunia kwa kuwa na watu wenye IQ kubwa na kwao swala la elimu sio kigezo tena...
kwa hiyo katika IQ score hatuna two variables katika kuscore wheather good or poor au better and stupid, ila kuna intermidiate parameters zinahusishwa na test inatakiwa kubase na real life trending circumstances...
View attachment 928624
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] au sio...Mnhhh naona umekua obsessed na hili swala la knowledge acquisition kwa vile nimesema vinaendana na IQ ...rudi kwenye mjadala please...lol
Nimesema pale juu knowledge tests sio IQ tests,Ila in my opinion and I’m right standard tests ina predictable value lol .. YES, standard tests can PREDICT..one ‘s intelligence abilities,there’s CORRELATION RELATIONSHIP between IQ and STANDARD tests though this relationship is not CAUSALITY...
Intelligence pia ni ability ya kudeal na cognitive demanding/complexity task such as standard test...intelligent person means ana ability kubwa ya kureason,na problem solving sasa akifeli mtihani wa kawaida darasani utasemaje ni intelligent?? How can he demonstrate intelligence wakati reasoning yake haionekani?
Singapore lol pamoja na kuwa na high IQ wameinvent nini?lols mie naonaga Mchele wao tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]...(joke)....,,anyway wametoa standards tests Ila LEARNING iko pale pale,uwepo wa basic education inaonyesha wanaheshimu the role of knowledge! Ila sijui hio system Yao imeanza lini na Kama hio policy ingekua successiful I think dunia nzima ingeadopt mfumo wao..but so far ni Finland na Singapore ndio zina mfumo huo...Sijui km kuna nyingine....??
Mwisho mambo hayako soo rigid km unavyodhani, kuna shule zinafeli wanaangalia wapi walipokosea,wanna employ new strategies na kweli wana pass kwenye matokeo mengine ... Kama matoto yangekuwa majinga genetically ,yangekua hayafundishiki Mkuu
Kipengele cha kufaulu darasani kipo kwenye mengineyo kabsaa kwenye IQ questionare format naomba ulejeee questionare kama utaweza kuipata ...Mnhhh naona umekua obsessed na hili swala la knowledge acquisition kwa vile nimesema vinaendana na IQ ...rudi kwenye mjadala please...lol
Nimesema pale juu knowledge tests sio IQ tests,Ila in my opinion and I’m right standard tests ina predictable value lol .. YES, standard tests can PREDICT..one ‘s intelligence abilities,there’s CORRELATION RELATIONSHIP between IQ and STANDARD tests though this relationship is not CAUSALITY...
Intelligence pia ni ability ya kudeal na cognitive demanding/complexity task such as standard test...intelligent person means ana ability kubwa ya kureason,na problem solving sasa akifeli mtihani wa kawaida darasani utasemaje ni intelligent?? How can he demonstrate intelligence wakati reasoning yake haionekani?
Singapore lol pamoja na kuwa na high IQ wameinvent nini?lols mie naonaga Mchele wao tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]...(joke)....,,anyway wametoa standards tests Ila LEARNING iko pale pale,uwepo wa basic education inaonyesha wanaheshimu the role of knowledge! Ila sijui hio system Yao imeanza lini na Kama hio policy ingekua successiful I think dunia nzima ingeadopt mfumo wao..but so far ni Finland na Singapore ndio zina mfumo huo...Sijui km kuna nyingine....??
Mwisho mambo hayako soo rigid km unavyodhani, kuna shule zinafeli wanaangalia wapi walipokosea,wanna employ new strategies na kweli wana pass kwenye matokeo mengine ... Kama matoto yangekuwa majinga genetically ,yangekua hayafundishiki Mkuu
UnarithikaHabari za weekend wana JF, kuna swali nimekua nikijiuliza muda mrefu sana na kuna mada iliwekwa humu JF ambapo wachangiaji wengi kina Wick na Malcom Lumumba waliijadili hii issue ila kwa kugusia tu maana haikuwa kiini cha mada.
Ukweli mchungu: Pasipo anguko la Malaika (Sons of Gods/Watchers/Anunnakis/Aliens), Mwanadamu angeendelea kubaki kilaza. - JamiiForums
Humo ndani kuliibuka debate kama akili za binadamu ni hereditary/genetic au ni mazingira. Baada ya kusoma tafiti /makala kadhaa nikaona nilete mada humu ili tuweze kujadili suala hili kwa upana zaidi na niweze kupata conclusive answer kwa mjadala ule. Na source yangu kubwa ni study hii ya huyu neurosurgeon niliyeambatanisha pdf yake hapo chini.
View attachment 919915
UTANGULIZI
Akili kwa kifupi tu tunaweza kusema ni uwezo wa kufikiri au kuchanganua masuala mbalimbali yanayotuzunguka na kwa mingi wanasayansi wamejaribu kupima hiyo "akili" kati ya mtu na mtu ili kuweza kufahamu sababu halisi za kuwepo utofauti huo yaani mtu kuwa na akili ''ndogo'' au ''kubwa'' kuliko mwenzake.
Mnamo mwaka 1905 serikali ya ufaransa ilitaka kuanzisha mfumo wa "elimu kwa wote" hivyo ikataka kugundua watoto wenye ''akili ndogo'' ili wapewe elimu maalum kuwawezesha kusoma kwa spidi yao kuliko kuwabakisha nyumbani tu au kuitwa "wehu". Mtihani huu uliitwa stanford-simon test ambapo ulikuwa unapima vitu vikuu vitano ambako na sisi ningependa tutumie tunapoendelea na mjadala huu sababu hizi factors ndio zimeweka msingi wa IQ tests na mbinu karibu zote duniani za kupima akili ya mtu.
1.Maarifa (knowledge) ambapo hapa wanapima kama mtoto ana uwezo wa kuelewa mambo yanayomzunguka mfano mtoto aliulizwa kushiba au kuchoka ndio nini?
2. uchanganuzi wa hesabu (Quantitative reasoning) ; Hapa mtoto anaulizwa masuala ya hesabu ili kupima uwezo wa akili yake mfano kujumlisha,kutoa,kugawanya n.k
3. Working memory yaani Kumbukumbu ya muda mfupi ambapo hapa wanapima kama mtoto ana uwezo wa kutunza mambo aliyofundishwa au kuyashuhudia muda mfupi tu uliopita mfano kama unawaonyesha picha basi unawauliza picha ya kwanza kuwaonyesha ilikuwa ya nani.
4. Visual-spatial processing yaani utambuzi wa vitu kwa kuangalia mfano uhusiano baina ya picha na zaidi inayotumika ni puzzle ambapo mtoto alitakiwa kupanga vipande tofauti ili vitengeneze picha moja.
View attachment 919908
5.Ya mwisho ni uwezo wa kuchanganua (fluid reasoning) yaani uwezo wa kufikiri na kupata suluhisho kwa jambo ambalo halitegemei kitu ulichowahi fundishwa au kukutana nacho huko nyuma mfano kuunganisha dots za suala fulani fulani ili upate picha kamili mfano hapa chini ambapo mtoto ataulizwa umbo gani ndio sahihi kuwekwa kwenye alama ya kiulizo??
View attachment 919909
NADHARIA
Baada ya kujua baadhi ya vitu tunavyopima kwenye uwezo wa akili ya mtu.... Basi tuangalie nadharia mbalimbali zilizoletwa juu ya mjadala huu.
1. Akili hurithishwa /Heritability.
Kwenye nadharia hii baadhi ya wanasaikolojia wamejaribu kufanya tafiti mbalimbali kuonyesha kuwa akili ya mtu hurtishishwa kutoka kwa mzazi hivyo uwezo wa akili za wazazi ndio utaamua uwezo wa wanaye kwa kiasi kikubwa. Kwa mujibu wa tafiti nilioambatanisha hapo chini inaonyesha mapacha wakufanana wana wana akili (IQ) zinazofanana kuliko mapacha wasiofanana ikimaanisha jenetiki zina nafasi ya kucheza kwenye kuamua akili ya mtoto. Vilevile utafiti mwingine ukaonyesha ndugu waliokuzwa kwenye nyumba moja wana akili zinazofanana kuliko watoto wasio na undugu waliokuzwa eneo moja ikimaanisha genetics za kifamilia ndio huamua akili ya mtoto na sio makuzi/malezi n.k
Nadhari nyingine inayotumika humu ni wilson effect ambayo inasema mtu anapozidi kukua basi uwezo wa akili yake unakuwa umechangiwa na akili za kurithi kuliko sababu zingine zozote na alihitimisha kwa utafiti unaoonyesha 60% mpaka 80% ya akili ya mtu mzima huwa imerithiwa kutoka kwa kizazi chake na zilizobaki ndio sababu zingine kama elimu,makuzi,mazingira,uzoefu,afya n.k
2. Mazingira/makuzi
Nadharia ya pili inadai mtoto huzaliwa na uwezo wa akili wa kawaida ila mazingira au makuzi atayakayopata ndio yataamua akili yake hapa duniani. Tafiti mbalimbali zimefanyika mfano weinberg (1989) unaonyesha mapacha wanaofanana waliokuzwa mazingira tofauti kabisa uwezo wa akili zao haukufanana ikimaanisha uwezo wa akili huamuliwa na mazingira ambayo mtoto anakulia na sio kurithi akili za mzazi. Mfano mtoto ambaye baba na mama yake wana akili ila amekulia mazingira ya umaskini hivyo kula yake ni ya shida na hapati lishe bora hasa udogoni inaathiri size ya ubongo wake hasa ubongo wa mbele (frontal lobes) hivyo itasababisha uwezo wake wa akili kupungua sana. Ama mtoto mwenye uwezo mdogo wa akili akikulia mazingira ambayo wazazi wanamjengea uwezo wa kufikiri kama kumpa maarifa kadha wa kadha toka akiwa mdogo,kusoma vitabu,mitihani ya kimaisha ya kumfanya afikiri basi mtoto huyu akili yake (IQ) itapanuka muda unavyozidi kusogea.
View attachment 919916
Tabula rasa
Hii ni nadharia iliyoanzishwa na John locke (1690) inayodai mtoto akizaliwa huwa ni MWEUPE kichwani ila uwezo wake wa akili utaamuliwa na mazingira,uzoefu,maarifa atakayopata kwenye makuzi,mazingira au uzoefu anavyozidi kukua. Hivyo kwa kiujumla nadharia hii inasema haijalishi mtoto kazaliwa na akili gani ila makuzi yake ndio yataamuwa kama atakuwa na akili ''kubwa'' au ''ndogo''.
NB: tunapoongelea akili hatumaanishi za darasani na hatumaanishi jinsi mtu anavyozitumia bali tunamaanisha UWEZO wa juu zaidi ambao anaweza kutumia kufikiri hata kama bado hajaamua kuutumia ipasavyo. Kiufupi tunaangalia brain CAPACITY sio PERFORMANCE. Maana kuna wengine wana akili kubwa ila hawajawekewa mazingira ya kuzitumia kwa ukamilifu wake so tunapojadili tuwe nalo hili kichwani.
Naomba kuwasilisha
Cc
Mchawi Mkuu Malcom Lumumba Elungata Da'Vinci Mshana Jr Eiyer Kudo900 Vi rendra N J subi Bujibuji Kipanga boy Kiranga Che mittoga Ip man 3 mitale na midimu Mzee wa Torano Blaki Womani Grahnman za chembe jimmykb197 911sep11 afsa Francis3 mtu chake NJOLO Msolo Shubiri Pori Pendael24 Mr Miller Elli Khalifavinnie Kennedy Son of Gamba Kanungila Karim Mgambilwa ni mntu Mr FCB Mr Q geesten66 Jerry Ekky Mnabuduhe Chrisvern Dabby Jr kibuyu180 IGWE SALA NA KAZI
Wick Dukeson lifecoded Daimler monde arabe mtu watu
Hapo kwenye kusema kama baba atakuwa zero na mama zero et na mtoto anakuwa zero nakukatalia kabsaa...mkuu zitto zote hapo ni sababu kama ulivyosema ila ni sawa na wanyama na mimea inavyotegemeana katika mazingira.
kwa mfano: baba na mama wote zero,kuna uwezekano gani wa kuzaa genius? hapo ndipo unapoona sababu no1 ina mantiki, ila haiwezi kuleta matokeo chanya kama sababu no2 haijasaidia, halafu sababu no 3 ni sababu ya kisaikolojia ndio maana inatengenezwa na mazingira,uzoefu nk bila sababu no3 bado akili haijawa timilifu
Akili hurithiwa kwa 40% wakati 40% zingine utazipata kwenye malezi yako ,na endapo utaishi na wazazi wale wake waliokurithisha akili hizo utakua na akili kwa 80% (ndio maana wakasema mapacha waliolelewa tofauti akili hazifanani)
20% zilizobaki sasa ndio utazipata kwenye mazingira unayoishi,mapito yako binafsi kama sababu no3 inavyojieleza.(mnaweza zaliwa familia moja na wazazi wamoja ila mapito yenu,uzoefu,mazingira ndio yataamua nani azidi akili za mwingine)
Hapo sasa utatimiliza akili timamu[emoji4]
tukiachana na huo mfano. narudia tena nmesema hizo 7bu 3 zinategemeana katika mazingira.Hapo kwenye kusema kama baba atakuwa zero na mama zero et na mtoto anakuwa zero nakukatalia kabsaa...
Tunasema mtoto anaweza akarithi intelligence iliyopo kwenye trend ya Ancestors ( vizazi vya mababu na mabibi zake) ..
haimanishi kuwa mtoto anarithi akili ya mama yake au baba yake ila anarithi muendelezo wa kila alichobeba mamake au babake...
Naomba urudie kusoma Inheritance geneology jinsi inavyopasiwa...
Ndo mana watoto wanaweza kuwa na Intelligence kubwa kuzidi wazazi wao lakini ukiitrace kwenye Geneology trend unakuta ni ya babu au bibi zake...
Ndo mana mwisho wa siku tunasema Genetic inabaki na mchango mkubwa sana kwenye kurithi kuliko mazingira...