Intelligence heredity: Je, uwezo wa akili hurithiwa?

Nimekupata mkuu usijali

Nilishindwa kutofautisha kati ya knowledge na intelligence

Unajua katika imani yetu ya kibudha tunaamini katika milango nane ya ufahamu So haijanipa tabu

Basi nitaiweka knowledge katika sehemu ya mlango wa Sita unaohusikana na ufahamu (mental)

Na intelligence nitaiweka kwenye sehemu ya mlango wa saba (Manas) the general

Halafu mambo yanaenda

Ila mkuu nimeona juu umegusia kidogo kuhusiana hisi za mama mjamzito kwamba anapokuwa disponted na jambo fulani inaweza ikazuia uzalishaji wa hicho kichocheo cha CPH4

Ikiwa na maana kama Baba hajui kupetipeti inaweza kuleta shida_ si ndio...?

Je Huoni kwamba hii inaweza kuingilia utendaji wote na kumpa mama mamlaka ya ugawi wa ufahamu kuliko inavyohusika baba

Kiasi kwamba tunaweza kubadili defnition ya intelligence na kuipa maana ya tabasamu la mama ndio kuwa kila kitu ...unaonaje hii.?
lakini pia kuna ukakasi sana juu ya kutumia Surrogate mother kwenye human cloning ambapo tunaona kuwa watu wanatak kutoa specie au clone yenye uelewa ule ule na mhusika ila wanampandikizia mother ( surrogate) na anakuja kedeliver product ile ile desired....

sasa hapa najiuliza tena mchango wa mama unakosekana....ha ha ha hatari snaa...
 
Ni kweli_unajua dunia ina mambo mengi sana

Kuna makala moja niliwahi kuipitia kitambo sana iliwahi kuzungumzia juu ya uzalishaji wa kiumbe pacha

Na ilisema huwa wanachukua yai la mama na kulitoa kiini chake na baadae kupandikiza kiini cha mhusika na kuendeleza ukuaji kwa wanayoyajua wao

Nilishindwa kuendelea kuisoma kwa kuwa sio mtaalamu sana wa biolojia

Lakini vipi inaweza kuwa sababu..?
 
ni kweli mkuu..huwa wana toa kiini( nucleus ) kisha wanapandikiza hiyo wanayoitaka...

nahisi kwa sababu wnaataka desired product ndo mana effects ya mama inakosekana kwa sababu ya kutolewa kiini tete...
 
Hivyo inamaanisha kwa wenzetu waliotangulia kama wanayajua haya _Tunaweza kuwa tunaishi na clone za majitu yaliojifea miaka mingi tu _lakini bado copy zao zinapeta duniani..!?

Ebu mwagika kidogo hapa mkuu

Au uwezekano wa hivyo viumbe kukua ni mdogo.?
 
mkuu..siyo kwamba et tunaweza kuwa tunaishi nayo ...ni hivi tunaishi na hao viumbe sana mpaka mtaani kwako wapo ila wew unawaona kama binadamu wa kawaida but its not...

Human cloning ilipigwa marufuku kiaina siyo kuwa kufanyika kabisa...kilichopigwa marufuku ni utoaji wa taarifa kwenye jamii( sharing experimental results) ...

Baada ya hapo ndo ikaaanza kupigwa vizuri mpaka leo...

Genetic modified ambayo inatupa vyakula kama samaki,na kuku wa kizungu,ng'ombe pamoja na kondoo ni product ya cloning ...

Huko china,south korea na Singapore wamefikia sehemu wanazalisha samaki kwa kutumia cloned nuclei...

yani unanunua mbegu za samaki maabara kisha unaenda kumwaga kwenye bwawa lako kisha unatupia growth hormones bada ya mwezi mmoja unavuna samaki wako na hao samaki wana minofu tu hakuna mifupa mingi kama wa huku...ni nyama kwenda mbele...

Hiyo ni ndogo,kubwa zaidi ,maffin project ambayo inazalisha clone( human) wenye desired product unayotaka...

yani sasa hivi wanazalisha clone hata ambaye recipient alishakufa miaka ya 1980 huko...

Kuna siri pia ambayo inasemekana jamaa washatengeneza clone ya Albert Einstein pamoja na Nikola tesla ambazo zipo Massecheute Institute of Technology( hii inasemekena lakini) japo sijajua ukweli wake umekaaaja hapa...

Na wale jamaaa sasa hivi wanazalisha watu kisha kuwapandika watu wakiwemo politicians pamoaj na wataalamu kibao kwenye taasisi zetu huku bila sisi kujua ...

uzuri wa clone unaweza ukammodify kwa rangi au race unayoitaka ili kuepuka kushitukiwa kwenye interacting society..

Kuna baadhi ya nchi kama Angola,South Africa na Tunisia zimeingia mkataba na Maffin project kukopeshwa clones zinaziweka kuwasaidia hasa kwenye mambo ya utafiti na kuongoza watu kwa siri ...

Haya mambo ni mazito sana...yani mwisho wa siku utakuja kujuwa kuwa clones wamejaaa mtaani bila kuwajua...kuna baadhi ya documentaries zinavuja kuhusiana na watu maarufu kama kina Rick Ross ,Eminem ,P.Didy,Avril Lavigne,Katty Perry ,Taylor swift na wengine kibao kuhusisha clone zao kuwa ndo zinazoimba na kuratibu mambo yote huku baadhi yao kusemekana kuwa washakufa kitambo sana kwa kushindwa kusell their soul kwa mshirika wao mkubwa...wengine kutokana na umuhimu wao wanaamua kuwaua kisha wanatengeneza clone yao ambayo itakuwa ni mind controlled na wao ili iwe rahisi kuimba na kutoa maudhui yanayoendana na hizo jamiii za siri kuhusu namna wanavyotaka jamiii iishi ..

Juzi juzi tu tumeona skendo ya bwana mdogo Kodack black baada ya kukamatwa na kupelekwa gerezani lakini badae akatoleaa lakini inasemekana iliyotolewa ni clone yake na yeye wamemfungia huko chini wanakowatunza hao original recipient kwa kuwatengenezea mazingira ya kitajiri ambayo yana kila aina ya starehe kiasi kwamba kukumbuka huku duniani inakuwa ngumu snaa na hawawezi kurudi tena ...ndo inakuwa nitoleee...

..mambo mazito sana haya...usione kwanini underground cities zinajengwa ukafikiri watu wanaigiza ..hayo ni makao ya hao produced clone pamoja na recipient zao..

Kwa hiyo swala la Intelligence lipo another level of realm mkuu

so be careful with your leading system tusijekuwa tunaongozwa na clone zao make sio kwa scenario hizi...ha ha ha
 
Duh nimestaajabu sio kwa maajabu ila hili sikuwah sikia.

Sasa mkuu niulize swali langu labda sijaelewa vizuri.
Upandikizwaji huo kwa tafasiri hii ya clone,..
An organism or cells or group of organism or cells,produced asexually from one ancestors or stock to which they are genetically dentical...

hizo ancestors cells wanazipata vp?
Inachanganya.
 
Juzi juzi tu tumeona skendo ya bwana mdogo Kodack black baada ya kukamatwa na kupelekwa gerezani lakini badae akatoleaa lakini inasemekana iliyotolewa ni clone yaje yeye wamemfungia huko chini wanakowatunza hao original recipient...mambo mazito sana haya...

Kwa hiyo swala la Intelligence lipo another level of reakm mkuu

so be careful with your leading system tusijekuwa tunaongozwa na clone zao make sio kwa scenario hizi...ha ha ha
AlooO..! Nakuelewa sana mkuu

Nilikua najiuliza inawezekana vipi kufanya cloning ya kiumbe halafu kwa haraka kifanane na cha awali kwa umri..!

Ila ulipogusia izo growth hormonis na utendaji wake bado sijaelewa kama ndio zinaspeed hiyo growth processing au kama wana namna nyingine wanayoitumia kwa aina ya binadamu....!?
 
Duh nimestaajabu sio kwa maajabu ila hili sikuwah sikia.

Sasa mkuu niulize swali langu labda sijaelewa vizuri.
Upandikizwaji huo kwa tafasiri hii ya clone,..
An organism or cells or group of organism or cells,produced asexually from one ancestors or stock to which they are genetically dentical...

hizo ancestors cells wanazipata vp?
Inachanganya.
Rahisi sana mkuu...wanachohitaji hawa jamaaa ni cell moja tu ya mhusika...hata wakipata kipande cha unywele kwisha habari..atatengenezwa huyu mtu( clone)..

Kwa sababu gene configuration ya nywele ndo replica ya original DNA strand ya mhusika..kwa hiyo tunaweza pata mother strand ( Original DNA configuration) ya mhusika kisha tukaconstruct original Genome ...

Kwa sasa hivi jamaa wanahitaji hata kitabu au nguo alizoacha mhusika yani pale kuna materil kaacha.....

Hivi una habari kuwa hata ukinigusa mkono wangu kwa bare hands zako tayari copy ya DNA yako inabaki pale...??? kwa hiyo tukiweka DNA analyser inatupa majibu kuwa mtu flani mwenye DNA hii alikushika mkono...

Unafikiri ni kwanini SCOTLAND YARD wnaaaminika kwenye mambo ya Post mortem..?? ujuzi mmoja wapo ni kumtafuta mhusika aliyefanyiwa tukio kisha kuanza kumuliza mtuhumiwa alikushika wapi...we kazi yako ni kuwaonesha maeneo uliyokamatwa kamatwa tu..wao watatress DNA analyser kisha kunasa vinasaba vya hao jamaa kisha wanawacheki kwenye universal Data base na sura zao zitakuja tu..

Unaona hii miradi ya kujisajili kwa kielectronic unahisi kuwa ni nchi yako ndo inaamua hivi..?? ...hapana kuna mashirika kazi yao ni kukusanya Data base za dunia kisha yanauza kwenye taasisi hizo za intelligencia hasa Mosad pamoja na Scotlad yard ambao kupitia utafiti wao kwa technolojia ya sasa hivi ( nanotechnology) wanaweza kubaini kila mtu yoyote alifanya kosa kisha akikimbia..

So mambo ni mazito mkuu
 
AlooO..! Nakuelewa sana mkuu

Nilikua najiuliza inawezekana vipi kufanya cloning ya kiumbe halafu kwa haraka kifanane na cha awali kwa umri..!

Ila ulipogusia izo growth hormonis na utendaji wake bado sijaelewa kama ndio zinaspeed hiyo growth processing au kama wana namna nyingine wanayoitumia kwa aina ya binadamu....!?
mkuu unajua nini kila kiumbe kina Serum blood level ya growth hormones...

Manake nini kila mtu ana threshhold level ya growth hormones ambazo ndo zinabalance ukuaji wa mwili wako..

Sasa wanapotaka kutengeneza clone yako wanapima Hypothalamic Adrenal Pituitary axis firing ratio ya growth hormone zako..
yani unaambiwa hivi kuna kipimo kikiingizwa kwenye ubongo wako kinatoa majibu ya kuwa umetumia quantity kiasi gani cha growth hormones tangu ulipozaliwa mpaka hapo ukipofikia kisha kile kile kiwango kinasubjectiwa kwa huyo developing clone embryo kwa growth rate ile ile na baada ya miezi kama 12 kinafikia level ile ile uliyopo wew na kwa hali hiyo inakuwa ngumu kumtofautisha clone au recipient...

noma mkuuu
 
mkuu unajua nini kila kiumbe kina Serum blood level ya growth hormones...

Manake nini kila mtu ana threshhold level ya growth hormones ambazo ndo zinabalance ukuaji wa mwili wako..

Sasa wanapotaka kutengeneza clone yako wanapima Adrenal Pituitary axis firing ratio ya growth hormone zako..
yani unaambiwa hivi kuna kipimo kikiingizwa kwenye ubongo wako kinatoa majibu ya kuwa umetumia quantity kiasi gani cha growth hormones tangu ulipozaliwa mpaka hapo ukipofikia kisha kile kile kiwango kinasubjectiwa kwa huyo developing clone embryo kwa growth rate ile ile na baada ya miezi kama 12 kinafikia level ile ile uliyopo wew na kwa hali hiyo inakuwa ngumu kumtofautisha clone au recipient...

noma mkuuu
We sio wa sayari hii...!

Vitu unavyo zungumza vinatengeneza logic fulani hivi

Unajua nini...ukiwa na akili ndogo na masikini utaona mambo ni mengi sana duniani...na yasiyowezekana

Ila kwa hawa wenzetu walaiotangulia na pesa wanazomiliki kupitia familia teule ni vitu simple sana

Watu wameshaisoma dunia yetu vizuri tu katika kila nyanja wanatuangalia tunavyoneng'eneka Tu..shenzi kabisa
 
ha ha
 
Kabisa mkuu...Unajua ukweli pia una kiwango

Ikitegemea na ufahamu wa mtu anayepokea taarifa

Ukweli nao ukimzidi mpokeaji wa taarifa unageuka uongo

We intellectual wa ukweli ngumu kukuelewa_ngoja na mimi nikanywe supu ya sisimizi labda nitaongeza mauwezo
 
ha ha ha mkuu kanywe tu...ikibidi piga supu ya damu ya paka kabsaajust kidin..
 
Uwezo wa akili huweza kurithiwa...

Kuna factors kadha kadhaa huchangia uwezo wa akili za mtu/binadamu kama...
Kimo cha mtu, jinsia pia huchangia, kabila, maisha yanaokuzunguka, aina ya elimu utakayoipitia...

Pia uwezo wako wa kujifunza, uwezo wako wa kutatua matatizo, uwezi wako wa kubashiri mambo...

Cc: mahondaw
 
Mimi naamini uwezo wa kiakili kwa mtu hurithishwa. Na ndio maana hata leo hii wazazi wetu wanatutahadharisha sana tuangalie wapenz tunaotoka nao tujitahidi tutafute watoto ambao familia zao ni bora kuliko zetu. Mfano mzuri kuna ukoo mmoja, kuna familia moja naamini ni moja ya familia ambayo ipo blessed, wazazi wao mmoja alikuwa ni mkuu wa department pale udsm na mwingine alikuwa anafanya kazi US Embassy top position bila shaka hao wazazi walikuwa wamesoma sana na akili walikuwa nazo na vijana wao wote walifaulu vizuri sana wapo wanne wote walipata div one kwa elimu zao za olevel na advanced sec Edu. Kiuchumi wako vizuri sana wale jamaa hakuna alietegemezi ni moja ya familia bora ambazo nishawahi kuziona. Lakini kama wazazi wangekuwa vilaza naamini hata hao watoto wasingeweza kufikia hayo mafanikio.
 
lakini pia kuna ukakasi sana juu ya kutumia Surrogate mother kwenye human cloning ambapo tunaona kuwa watu wanatak kutoa specie au clone yenye uelewa ule ule na mhusika ila wanampandikizia mother ( surrogate) na anakuja kedeliver product ile ile desired....

sasa hapa najiuliza tena mchango wa mama unakosekana....ha ha ha hatari snaa...
Mada hii ilikuwa inaenda safi murua kabisa lakini kuna ujuaji ushaingizwa humu, au ndo kusema unatutemea IQ content yako. Rahisisha mambo yaeleweke acha kutoa hard materials.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom