Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,933
Chuki ni hisia kali. Hisia kali huathiri uwezo wa mtu wa kufikiri kwa mantiki na kiakili.
Great minds! Na hili la chuki linaziba kabisa uwezo wa watu kuona hata mambo rahisi sana kama hili.