Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,070
Udhaifu ni pamoja na kuchagua mpinzani dhaifu ili kudhibitisha uwezo wako. Ujinga ni pamoja na kutoa 9 na kuweka 0 kwenye nafasi ya 10.Tatizo sio kuondolewa ila tatizo kuleta mtu Kilaza ambaye alishindwa kazi TRA aje aweze kazi kwenye ofisi nyeti ya umma kama hii?
Inawezekana kabisa kuwa tunapoenda hatupajui ila hatupendi watu wajue tunachofanya ni kujichekesha chekesha tu.