KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Kuna jamaa mtaani kwetu anaiba na kuuza maji kwa bomba mchepuko.Musamiati mpya bomba mchipuko. aisee nchi imeoza.
Kuna jamaa mtaani kwetu anaiba na kuuza maji kwa bomba mchepuko.Musamiati mpya bomba mchipuko. aisee nchi imeoza.
Zats it true mkuu by 100% cc jukumu letu ni kulijua hlo tu inatosha itapunguza idadi ya wazungusha mikono un resonable ni kweli ni vigumu kupata kiongoz away from ccm empire but wapo wachacha hata kama hawawez kutenda ila wanaongea ukweli mchungu sio hawa wanatupa uongo mtamKwa hali halisi ya kisiasa hapa TZ ni vigumu sana kupata kiongozi ambaye hana uhusiano na CCM. Ni ngumu sana, CCM ndio rejea (referance) ya siasa za nchi hii. Kizazi cha watu ambao hawana kabisa muingiliano au uhusiano na CCM, kitakuja kuongoza nchi lakini sio leo wala kesho.
Nami pia,hujanielewa tuu. Tunalalamikia BANDARI,tunahamia TRL,alafu ATC baadae BARABARA (tanroads na mizani), Kisha rushwa POLISI,manyanyaso na huduma mbovu MAGEREZA,UJANGILI,MADINI kuuzwa kiholela,ELIMU duni,MUHIMBILI (huduma mbovu za afya)....tunajadili mpaka tunachekesha,kilamahali hatupamudu? Mataifa yatatushangaa kweli inatia aibu.Mkuu watu wanahojoa issue iliyotokea Bandarini..!!
Tatizo sisi uchama ndio unaotusumbua huu ulikuwa wakati wa mabadiliko kutoa chama kikongwe na kuazaliwa demokrasia ya kweli ya vyama vingi ikiwemo kuwa na katiba ya wananchi tukapigwa changa la macho kwa kuketewa mgombea binafsi kuwa ati ndio jawabu tangu lini chama hiki kikongwe kikateua malaika wa kuwakomboa wanyonge?. Namwaminia mh ila kawekwa je ataweza kumpiga ....pasipo kuangalia uso wake?. Vita halisi ingekuwa kati ya Lowassa na mfumo hapo movie ingenoga maana jamaa angepiga haswaa tena kwa hasira maana aliwajua vema na ndio maana alipoamia UKAWA hadi vyombo vya usalama vilitumika kumpiga vita ili asitoboe huku sisi tukikata viuno kwa zile nyimbo za kuisoma namba.Nami pia,hujanielewa tuu. Tunalalamikia BANDARI,tunahamia TRL,alafu ATC baadae BARABARA (tanroads na mizani), Kisha rushwa POLISI,manyanyaso na huduma mbovu MAGEREZA,ELIMU duni,MUHIMBILI (huduma mbovu za afya)....tunajadili mpaka tunachekesha,kilamahali hatupamudu? Mataifa yatatushangaa kweli inatia aibu.
sasa tujijadili sisi kama watanzania,niwapi tumekwama? Hatuna uzalendo,uhodari wa kazi,uaminifu nk. na vijana waliopo mashuleni hawajengewi vitu hivyo.
naamini sasa umenielewa
Hii hali ishaanza kuzoeleka,no innivation!!!Tena huyu jamaa ni hovyo kabisa mimi nilitegemea Zoezi lingekuwa Endelevu kuna waCONGO wengi makanisani wanajifanya maEXPERT wa kuimba Kwaya hawana vibali tunataka sehemu inayoeleweka ili tuwatumbue kimyaa duh...
Nachoweza kumshauri Lowassa ni kuwa mshauri mkuu wa CHADEMA, ili wanasiasa vijana wawe wanamfuata kwa ajili ya kuchota hekima na uzoefu wa kisiasa, kwake kuweza kupata urais mwaka 2020 kama alishindwa 2015, ni ngumu sana.Haya yote Lowassa aliyajua ndio maana wakamfanyia figisufigisu na akina ..... Maana walijua akiingia ataanza nao wakaona wamweke mh wakijua angalau atawachifichia aibu sasa akilegea naye imekula kwake maana kikulacho kimo nguoni mwako na adui za mtu ni watu waliomo nyumbani mwake mwenyewe. Mh baba komaa ukilegea imekula kwakooooo.
Naona ndivyo ilivyo sidhani kama atagombea tena anachofanya sasa ni ujenzi wa chama tu na sio kujijenga yeye kama ili agombee.Nachoweza kumshauri Lowassa ni kuwa mshauri mkuu wa CHADEMA, ili wanasiasa vijana wawe wanamfuata kwa ajili ya kuchota hekima na uzoefu wa kisiasa, kwake kuweza kupata urais mwaka 2020 kama alishindwa 2015, ni ngumu sana.
Hakuna wauza mechi kuzidi maafisa taarifa wa taasisi husika. Dawa ni kuwapa uhamisho wote.Bongo zaidi ya uijuavyo kila mtu anauza mechi..
Wanavyorukaruka unashindwa kujua nini kinaendelea.......kuna hao polisi......kuna wale waliopewa siku 7 kulipa kodi........
Mambo ni mengi sana......lakini hakuna kitu hata kimoja kinachofanyika....nilikuwa nasubiri siku 100 lakini zimeisha hakuna lolote........
Please keep quite. Yule aliyetuma ujumbe alifahamika na wamenyamaza hawajamfanya lolote, sasa inakuwasha nini?Tuliangalie hili kwa makini sana. Jana wakati Waziri Mkuu akiwa anatembelea kukagua Kurasini Oil Jet (KOJ) aliambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Vipimo (WMA) pamoja na wakubwa wengine. Swali alilomuuliza huku akitaka maelezo yake yatolewe ni ......KWA NINI ULIAMUA KUWASHA METER JANA BAADA YA KUTUMIWA UJUMBE WA SMS?...... Kwa jicho la weledi ni kwamba katika timu ya watakatifu waliowazunguka Majaliwa na JPM wapo wanaouza taarifa kwa watuhumiwa watarajiwa.
Kiintelejensia hili limekaaje?
Inanipa mashaka hata ulinzi wa viongozi hawa ambapo inawezekana Watanzania wasio wema wakaamua kuwauza ili waondoke mbele ya macho ya Watanzania wenye kuhitaji huduma zao.....