wakulichomeka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 517
- 142
Mwacheni magufuli atufanyizie kazi watanzania
Point of correctionVijana wenzangu wangekuwa kama ww tungefika mbali maana 4 all zose 8 solid year walikuwa hapa wakisema uchafu wa lowasa 2 month to go wanatuagiza tumtandikie nguo apite juu yake kwa mwanakondoo aliembeba yesu kutoka yeriko kwenda jerusalem politician wote waongo ndo maana always i trust no body to the foolest
Mhh nini inawezekana ana mfumo tofaut na huuMmmmh!
Tatizo huu mfumo hauwez kuisha wenyewe...nguruvi3 kila siku anahubiri mfumo humu
watu bado mnaamini kwenye 'individual brilliancy '
Kungekuwa na mfumo waziri mkuu wala asingekwenda bandarini
ingejulikana meter ni mbovu na mhusika mzembe
Hili jamaa ni jinga kweli haliachagi kutetea upupu,Nyie ndo wanafiki wajaza tumbo, hata jambo lenye ukweli wewe unaleta ukada. Wewe unaisi mjukuu wako atapata nini kama waliotajwa wataendeleza unafiki wao? tunaishi nao tunawajua wewe unabisha.
Acha waendelee kuvuna walichokipandaSerekali ya Ccm ipo uchi miaka yote,Ilivyaa nguo enzi ya mwalimu tu.Kwa sasa kwa Ccm hamna siri,tena kwa mwendo huu wa kukurupuka na kufukuza ovyo.Ndio kila kitu kitakuwa kinawekwa hadharani wao wakiamini kwao ni siri.
Kazi bado ni kubwa sana........
Asingeweza kabisa lakini kukuzalisha mtoto isingechukua hata dakika tanoHivi kwa akili yako fupi kweli unahisi Lowasa angeweza kufanya robo ya alichofanya Mags?
Rasimu ya Mzee Warioba ilikuwa imelenga kutekeleza hilo tena bila misuguano au kuwabolea walalahoi nyumba zao wakati hujaweka mipango ya malazi/makaazi mbadala lakini Magambas waliikataa na hadi leo wanaikataa. Hata na JPM naye anaikataa wakati haya anayoigiza yalikuwa yamewekewa utaratibu mzuri wa kitaasisi! niseme bila kupepesa macho ninaichukia sana CCM, ninalichukia genge la wanaojiita viongozi, ninachukia na rais wao. Ni wanafiki wakubwa lakini wako mstari wa mbele kutoa kauli za kitoto eti msema kweli ni mpenzi wa Mungu!Tanzania inanuka! Tena inanuka harufu mbaya mno. Kuisafisha inahitaji total overhaul . Huo ndio ukweli .
nguruvi3 kila siku anahubiri mfumo humu
watu bado mnaamini kwenye 'individual brilliancy '
Kungekuwa na mfumo waziri mkuu wala asingekwenda bandarini
ingejulikana meter ni mbovu na mhusika mzembe
nguruvi3 kila siku anahubiri mfumo humu
watu bado mnaamini kwenye 'individual brilliancy '
Kungekuwa na mfumo waziri mkuu wala asingekwenda bandarini
ingejulikana meter ni mbovu na mhusika mzembe
Mkuu watu wanahojoa issue iliyotokea Bandarini..!!Hii nchi watu tu wajuzi sana wa kulalamika na kushutumu, ata wezi nao wanalalamika nchi inaibiwa! Ukimwuliza mtu binafsi kazalisha nini/ kasaidiaje nchi toka mwaka uanze hamna hamna vijana ni pooltable.
Ukitaka kujua vijana hiinchi kunashida,tizama wanachuo wanatumiaje mdawao!
nimejaribu kuuliza vijana wengi wanapenda kufanya nini? Majibu mengi Ni,
ke-tamthilia,kuchat na kulala
me-kuchek mpira,pombe & pool table na kutafuta ke.
hamna cha kusoma wala kazi sasa sjui tutaendeleaje? Tutabaki kulaumu kivuli chetu kinatufatafata
Lowassa ni matunda ya madudu haya yanayoongelewa kwenye mada hii, ni matunda ya umoja wa vijana wa CCM. Hajawahi kuwa na kitu special ni matunda ya system hii hii inayoumiza watu vichwa kwa sasa.Tunamuhitaj lowasa
na walio deki bara bara wanajua kuwa he was rejected na mfumo dharim wa hii ccm pendwa ya jpm kumbe tukitaka kumfukuzs kichaa tumfukuze na mifiko yake kuichukia ccm alafu ukampenda el ni sawa na kufuta sifuri ukaandika o au umechomoa nyuma ukachomeka mbele na mm nliandika hivyo kwa mtego thenk u umeenielewa we need a change kama yako salute kamanda wa kweliLowassa ni matunda ya madudu haya yanayoongelewa kwenye mada hii, ni matunda ya umoja wa vijana wa CCM. Hajawahi kuwa na kitu special ni matunda ya system hii hii inayoumiza watu vichwa kwa sasa.
Kwa hali halisi ya kisiasa hapa TZ ni vigumu sana kupata kiongozi ambaye hana uhusiano na CCM. Ni ngumu sana, CCM ndio rejea (referance) ya siasa za nchi hii. Kizazi cha watu ambao hawana kabisa muingiliano au uhusiano na CCM, kitakuja kuongoza nchi lakini sio leo wala kesho.na walio deki bara bara wanajua kuwa he was rejected na mfumo dharim wa hii ccm pendwa ya jpm kumbe tukitaka kumfukuzs kichaa tumfukuze na mifiko yake kuichukia ccm alafu ukampenda el ni sawa na kufuta sifuri ukaandika o au umechomoa nyuma ukachomeka mbele na mm nliandika hivyo kwa mtego thenk u umeenielewa we need a change kama yako salute kamanda wa kweli
Wanavyorukaruka unashindwa kujua nini kinaendelea.......kuna hao polisi......kuna wale waliopewa siku 7 kulipa kodi........
Mambo ni mengi sana......lakini hakuna kitu hata kimoja kinachofanyika....nilikuwa nasubiri siku 100 lakini zimeisha hakuna lolote........