INTELIJENSIA: Ziara ya Waziri Mkuu Bandarini

INTELIJENSIA: Ziara ya Waziri Mkuu Bandarini

Mkuu mi ccm nawaelewa tukiwa nao kwenye misoto lakini katika mambo ya maamuzi na maendeleo ya nchi siwaamini kabisa
 
Bim
Tuliangalie hili kwa makini sana. Jana wakati Waziri Mkuu akiwa anatembelea kukagua Kurasini Oil Jet (KOJ) aliambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Vipimo (WMA) pamoja na wakubwa wengine. Swali alilomuuliza huku akitaka maelezo yake yatolewe ni ......KWA NINI ULIAMUA KUWASHA METER JANA BAADA YA KUTUMIWA UJUMBE WA SMS?...... Kwa jicho la weledi ni kwamba katika timu ya watakatifu waliowazunguka Majaliwa na JPM wapo wanaouza taarifa kwa watuhumiwa watarajiwa.

Kiintelejensia hili limekaaje?

Inanipa mashaka hata ulinzi wa viongozi hawa ambapo inawezekana Watanzania wasio wema wakaamua kuwauza ili waondoke mbele ya macho ya Watanzania wenye kuhitaji huduma zao.....
binafsi hili swali limeniumiza kichwa sana . Naomba huyo aliyevujisha Siri hizo ashughulikiwe
 
Na walivokuwa wakisema CCM ni ile ile wewe ulielewa nini?

Wamejipangaaaa.....

Sasa wanahangaika nini.......si watulie wale nchi kama wenzao waliopita.......
 
Bim
binafsi hili swali limeniumiza kichwa sana . Naomba huyo aliyevujisha Siri hizo ashughulikiwe

Ashughulikiweje wakati watamfunika.......?.......ukisikia akitajwa utaniambia........
 
nguruvi3 kila siku anahubiri mfumo humu

watu bado mnaamini kwenye 'individual brilliancy '

Kungekuwa na mfumo waziri mkuu wala asingekwenda bandarini
ingejulikana meter ni mbovu na mhusika mzembe
Pombe na Majaa-aliwa bora waendeleshe serikali wao wawili kwa sababu sioni waziri au karibu akikaba position yake.

CCM imemkalia kooni Magu, kufanikiwa kwake ni kugumu
 
Sasa kama unatumbua tu majipu bila kutoa kiini utakesha ukitumbua majipu yenye kiini kile kile, other wise kana hujui tabia ya jipu wewe.
 
Kuna majizi huwa tunayataja humu kila siku JPM hasikii, sasa tumsaidiaje? Kuna majitu yamekubuhu kwa rushwa na figisu, lipo li Mwakyembe, kuna Li Muhongo, Kuna li Simbachawene, kuna li kipara februari marope. Ukiwa na haya majitu kwenye baraza la mawaziri tegemea hujuma kila dakika. Ni majitu ya figisu. Acha raisi wangu JPM avune alichopanda

Yaani nimejikuta nacheka kama mazuri, ulivyo taja majina ya hawa jamaa hasa li kipara februari marope.hawa watu wanahisi wana hati miliki ya Tanzania.
 
Li

Li lowasa halitajwi kwa unafiki huu utaangaika sana maana inaonekana umejaa unafiki,
 
Yaani nimejikuta nacheka kama mazuri, ulivyo taja majina ya hawa jamaa hasa li kipara februari marope.hawa watu wanahisi wana hati miliki ya Tanzania.
Huyo lofa anautofauti gani na lema aliyemuita LOWASA shetani?
 
Hapo ni bandarini tu je maeneo mengine yalio kwenye fificho sikuna uozo mwingi sana! kuna Yule Waziri sijui wa nn alisema anawapa polisi sijui siku ngapi wampeleke majina yote ya wauza unga hadi Leo Sijawahi kumwona tena
Ha ha ha ha haaa Kitwanger,kwani opereshen ya kusaka wahamiaji imeshaisha?ina maana wameisha?na pia usisahau kuwa upuuz bado upo tu
 
Huyo lofa anautofauti gani na lema aliyemuita LOWASA shetani?
mkuu mi sipo hapa kubishana maana wote ni wapuuzi wamesha tufanya sie mavuvuzela. wao wanapiga pesa kama unavyosikia sie tunatukanana humu.
 
Hao wapigaji,wezi serikalini wapewe adhabu Kali Sana ikiwezekana wafungwe kifungo cha maisha jela!ili iwe onyoooo kwa kenge wengine

Ovaa
 
Back
Top Bottom