Innoss'B ft Diamond video, bonge la wimbo

Kwa hyo aboveground wote wameshindwa au?
 
na ndio maana ana force kolabo

akimaliza kolabo tunataka atulize akili aje na kitu chake yeye 100%
 
Hard work beats talent.

Diamond alijua nini anakihitaji toka zamani, akahangaika kujituma na kujifunza kila ambacho kitarahisisha ufanisi wake wa kazi.

Tuna kazi sana ya kujua nini potentials zetu, tufanye nini kuzi-exploit, nyenzo husika ni zipi, etc etc.

Kuna somo kubwa la kujifunza tukitumia mfano wa Diamond.
 
Sasa Kwenye hii Yope Diamond ndiyo kamuheshimu Innos B kwasababu ya kipaji chake hadi kautamani wimbo wake ungekuwa ndiyo kauimba yeye hadi ikabidi aombe remix na kiukweli huyo dogo Innos B amepewa lift kubwa sana diamond kupromote nyimbo yake.
 
Hili ni bonge la lift kitu cha kujifunza hapa ni Hawa wasanii wetu wanaoona Diamond sio lolote sio chochote kuna level diamond kafika ambayo ni rahisi kuwainua wengine na wakainuka..
 
Kuna kinanda kitamu sana kwenye hii beat, kwa wale mabaharia unaweza jikuta hubanduki kwenye papuchi maana ni mwendo wa kukojoa mwanzo mwisho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…