Ingekuwaje kama ningekuwa mwanamke?

sijasema mateso kua mwanamke, nimesema kuna mateso tunapata, see the difference?
Saw the difference and believe me i treasure women sanaaa
 
Mkuu kinachotutofautisha ni hormones,unekua na hormones za kike usingeogopa tena ungeona raha sema ndio hyo una homoni za kiume ndio maana ukifikilia hvyo unaona mateso,ila wao they happy,ndio maana pamoja na suluba mateso hustlin unazopitia still unapenda kua m/me coz ya homoni za kiume ndio zina karactaristics hzo!
 
1.Ungetongozwa mpaka uchukie mwenyewe, 2.ungeolewa na kuzaa(kuzaa ni process kumbuka)watoto,
3. Ungekuwa na maringo ujanani mwako.
Mengi tu mkuu ungekuwa nayo,
Hahahahaaaa haya mkuu bahati njema nikazaliwa kidume
 
Hahahahaaa we umeona hapo tu kwenye kumuacha mwanamke aaqmue kama anakutaka wewe ama la eeh!

siyo hilo tu mkuu, changamoto zetu ni nyingi na ni nzito kuliko zao (naamini hivyo)
 
Mateso yepi Bibie?


Hey!
Stop reading my signature! :smash:



To work twice as hard sehemu wanaume don't even use the effort ili kuprove your capability, kubakwa pasipo matarajio sababu tu una nguvu na maumbiile yapo vulnerable, kutelekezewa watoto ma mzazi mwenzio, kudharauliwa as if akili ya mwanamke ni mapambo. the list can go on.
 
siyo hilo tu mkuu, changamoto zetu ni nyingi na ni nzito kuliko zao (naamini hivyo)
Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja kaka kwamba kwa hali halisi ya maisha ya kila siku ya binadamu, wanaume wanaonekana kuwa na changamoto nyingi zaidi but physically women seem more fragile zaidi ya wanaume
 
Musimo Jr! Umefikiria nini hasa ?
Mi mbona naogopa kujifikiria hivyo!
Unajua cha kwanza kilichonifanya hata nizifukuze fikra hizi, ni pale nilipofikiria tu , yaani namie ningekua Manzi baadhi ya wakati ningekua nikipita kunako kundi la wanaume namie natingisha masaburi , kuwahemsha ! Sina hakika sana kama kuna woman ambae hapendelei hili . Na ndiyo mana wanawake wengi hupenda kuangaliana mwenzake anachezeshaje.
 
Hahahahaaa hapo kwenye red umenifurahisha sana asee
 
Neiwa hapo kwenye bold sijapaelewa, ulikuwa unamaanisha nini?
 

Ushawaza ingekuwaje Mungu akatupa wanaume makalio makubwa,na wanawake wakanyimwa?..
 
Neiwa hapo kwenye bold sijapaelewa, ulikuwa unamaanisha nini?




Jinisi maeneo ya mwanamke ya kufanyia ngono yalivo ni kuingiliwa hata kama hataki ngono ataingiliwa hata kwa nguvu. tofauti na mwanaume.
 

aisee...
 
Jinisi maeneo ya mwanamke ya kufanyia ngono yalivo ni kuingiliwa hata kama hataki ngono ataingiliwa hata kwa nguvu. tofauti na mwanaume.
Hapo sasa nimekuelewa mama
 

bado hujafunguka.
Enhe? Vipi kuhusu chumbani uikiwa unapigwa mikito ya haja na mwenzi wako, huku ukiguna kwa sauti isiyogelezeka.
Endelea mkuu...
 
Ndo maana babyboy is happily welcmd thn a babygirl.. Ulishaisoma hii kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…