Sidhani kama ni mateso being a woman mamy but mi najiuliza tu ni namna gani ningeweza ku kop na hali halisi.......m very carelesss na women need to be extra carefulHua unatuthamini wanawake au hizi ni porojo tu? kama wajiuliza yoote hayo ina maana wajua mateso yetu.
Sidhani kama ni mateso being a woman mamy but mi najiuliza tu ni namna gani ningeweza ku kop na hali halisi.......m very carelesss na women need to be extra careful
Kwani wanaume ndo wanaunafuu?
sijasema mateso kua mwanamke, nimesema kuna mateso tunapata, see the difference?
Sana tu..
Hahahahaaa we umeona hapo tu kwenye kumuacha mwanamke aaqmue kama anakutaka wewe ama la eeh!Mkuu wewe hujawahi kupigwa kibuti kwa sababu ya ukachala?
Muda wote unawaza kumridhisha, ukishindwa tu, unasaidiwa?
Unatafuta pesa kwa jasho na damu ili uweze ung'oe demu mkali?
Unaingia kwenye ushindani yeye ndiye aamue amkubalie yupi?
wanaume tuna changamoto kuliko wanawake Bhana..