denoo49 JF-Expert Member Mar 29, 2011 6,113 6,938 Oct 17, 2017 #2 Ningemuandikia ni majibu sahihi hila sio yanayostahili/yanayofaa
Naren JF-Expert Member Apr 22, 2016 692 425 Oct 17, 2017 #3 Dah! Yani nimecheka na anavyoaminia pointi zake sasa duh! Mpaka anatilia mkazo kwenye Tax kwamba ni almaarufu kama "vitexi"!
Dah! Yani nimecheka na anavyoaminia pointi zake sasa duh! Mpaka anatilia mkazo kwenye Tax kwamba ni almaarufu kama "vitexi"!
kadagala1 JF-Expert Member Nov 23, 2016 5,941 6,213 Oct 17, 2017 #5 Hahahahaa hapo alivyomaliza tu alienda kuhadisia wenzie jinsi alivyochana paper
mind ur bussness JF-Expert Member Dec 15, 2016 1,050 739 Oct 17, 2017 #6 My Godness duh, hatar sana. Koromijeeeeeeee students, hao ni ma RC watarajiwa so wanahaki kuwa hivyo na kupata hivyo aisee
My Godness duh, hatar sana. Koromijeeeeeeee students, hao ni ma RC watarajiwa so wanahaki kuwa hivyo na kupata hivyo aisee
MK254 JF-Expert Member May 11, 2013 31,690 48,493 Oct 18, 2017 #8 Kwa hali ilivyo ngumu kwa walimu kwenye mishahara, ningempa maksi 100% na kumpongeza.
N ndayilagije JF-Expert Member Nov 7, 2016 7,492 8,295 Oct 18, 2017 #9 MK254 said: Kwa hali ilivyo ngumu kwa walimu kwenye mishahara, ningempa maksi 100% na kumpongeza. Click to expand... Akapambane na Necta huko mbele. Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
MK254 said: Kwa hali ilivyo ngumu kwa walimu kwenye mishahara, ningempa maksi 100% na kumpongeza. Click to expand... Akapambane na Necta huko mbele. Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
greater G JF-Expert Member Nov 12, 2016 308 215 Oct 21, 2017 #12 Yupo sahihi,ukizingatia anajua kutiririka
josephantcharles Member Aug 16, 2015 88 27 Oct 22, 2017 #13 Kuwa Mpole. Mwalimu yupo kwa ajili ya kusaidia wasio na uelewa kusudi waweze kuelewa. Ila bila juhudi binafsi hakuna kitu
Kuwa Mpole. Mwalimu yupo kwa ajili ya kusaidia wasio na uelewa kusudi waweze kuelewa. Ila bila juhudi binafsi hakuna kitu