Mungu atulinde! Mwanaume ukisalitiwa kichwa kinajaa mambo mengi mengi. Muda mwengine akili inahama inafikiria sasa nimfanyaje huyu?
Yaani hapo usipomshirikisha rafiki yako unayemuamini akupe mawazo Mungu wangu utafanya tukio la ajabu. Ukikiacha kichwa chako kifikirie utafanya tukio moja la ajabu sana.
Haha..!!Huyo msela naye atakuwa alikuwa anasaliti huko aliko.so anaona poa tu.mbona ngoma droo.ingekuwa msela naye alikuwa mvumilivu maumivu yake yangekuwa makali kabisa na angekubali tuu yaishe.hivyo jamaa naye atakuwa ni kiwembe
Inabidi wanawake waelewe saikolojia ya mwanaume jinsi ilivyo. Laaa sivyo.......true ndiyo unafikia mahali pa kuamua kunua mkaa magunia mawili
Nini kimekuchekesha hivyo Cole?
Simu zingekuwa zinauzwa kwa kupima IQ ya mtu, Meraki ungekuwa bado unamiliki siemens ya buttonsAcha uboya. Huwezi kumtenganisha mtu na mamake.
Lazima ujuwe athari za unalotaka kulisema kabla ya kusemaHivyo mnatufunza tusiwe wakweli??
Kimwage banaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimekumbuka kitu dah maisha haya
Weeee siri yangu hahahahahahahahah kufumwa Kubaya sanaKimwage banaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siri za kuingia nazo kaburini, mojawapo ndio kama hiyo. Pole yake, ni kiranga chake kimemponza.
Wakati unafumwa ulikuwa umevaa nguo? Au kitu kilikuwa ndani?Weeee siri yangu hahahahahahahahah kufumwa Kubaya sana
tunapokosea ni pale tunapojidanganya kuwa wecan fight nature....wee tumeumbwa watu tugegedane basi. intimacy is key/ need ya mwanadamu. so lets accept it kuwa ukishaenda zako mbali kaa ukijua kuwa huna chako tena hapo...usijipe matumaini ambayo hayapo
Mwanaume ndo anakataa waachane imagine.!!
Mnhuu !!!!We mabaharia wanatupa magoli ya mbali sana
Kama nae ni wale wale anajikuta mizigo bado imooo ndani..
Ashaharibu mwenyewe,ila kwa stage ilofikia ingekua mimi ningeendelea kuwapo kwenye mahusiano..liwalo na liwe(kama bado napenda).Anadai anampenda jamaa ila huo msamaha ndo kitu anahofia hana uhakika nao, na kwa comment za wanaume nilizisoma hapa aiseeh' a move on tu.!!
this is suicide..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume huwa hawasamehi usaliti kamwe..kwanza kwanini alimwambia angebaki na siri yake moyoni...Hapo mwanaume atakuwa anamtafutia timing amlipizie. Jamani wanawake kama mwanaume hajakufumania live usikubali kwamba umemsaliti narudia tena usikubali kabisa huwa hawasamehi kabisa.
ni nature.. Btw, Mungu alimuumba Adamu na Hawa. Hawa ni wingi wa huyu na si vinginevyo.Kwanini mnakuwa na mioyo migumu hivyo while na ninyi mnasaliti na tunasamehe vizuri tu.!!